Stan Mashamba
JF-Expert Member
- Apr 22, 2020
- 3,184
- 2,471
Kichefuchefu
No.
No.
HAPA HAPANA
Umezoea uongo ww.Hoja ya kuponda ndege itaenda kumuomyesha cha mtema kuni LIsu usukumani wana hasira naye ya kufa mtu.Sehemu zote za starehe agenda ni hasira waliyonayo kuziponda ndege alikoongelea kanda ya ziwa.
Ona hyu jamaa ,mfumo wa elimu mbaya unaolalamikiwa humu ndy ambao umemtengeneza hyu jamaaa..kosa sio lake!! Mfumo huu umefanya hyu jamaaa aendelee kuwa mbumbuu kila kuchao!!mfumo mfumo mfumo!!kaipande toka mwanza uone watu wanavyobeba samaki.Ndege zinazopeleka samaki kwa sasa ni za mizigo za Rwanda na za ulaya.Sasa ukimwambia msukuma ndege hazina faida wakati anaziona zinabeba samaki kupeleka ulaya na Magufuli kaahidi kununua ndege za mizigo ili ziwe zetu ndio zinabeba wanakuona mjinga tu
Hoja ya kuponda ndege itaenda kumuomyesha cha mtema kuni LIsu usukumani wana hasira naye ya kufa mtu.Sehemu zote za starehe agenda ni hasira waliyonayo kuziponda ndege alikoongelea kanda ya ziwa.
Tarehe 28 october maeneo wanaojua umuhimu wa ndege yafuatayo ajiandae kupigwa chini
Watu wanaoelewa umuhimu wa ndege ni mikoa ifuatayo
1.Mikoa ya kanda ya ziwa yote
2.Dar es salaam
3.Mikoa ya kanda ya kaskazini ambayo ni KILIMANJARO ,ARUSHA NA manyara
4.Mbeya
5.Zanzibar
Hiyo mikoa Chadema wajiandae kufunga virago.Hoja moja iliyowaporomosha ni Lisu kuponda ndege sababu ni wapanda ndege maarufu na ndege hufurika sana huko kwa ajili ya watalii na mizigo zikiwemo za Air Tanzania
Mikoa hiyo ndiko kipigo cha mbwa koko kitatokea kwa mbelgiji Tundu LISU
fASTJET ILIKUFA SABABU NAULI HAIKUWA realistic ku recover cost.ILE NDEGE wenyewe walikuwa mafisadi waliokuwa serikalini wakiiba wasingizie wanaendesha biashara ya ndege.Umezoea uongo ww.
Kabla ya ndege za jiwe kulikuwa na FASTJET, nauli yake Dar - Mwanza ilikuwa sh elfu 70.
Saivi baada ya kuua Fastjet, kwa ndege mpya za jiwe Dar - Mwanza ni laki 4.
Afu unaleta porojo hapa!
Rubbish.. iliuliwa na pombe kwa figisu na hila Kama kawaida yakefASTJET ILIKUFA SABABU NAULI HAIKUWA realistic
Uongonauli ya basi kutoka dar es saaam hadi mwanza nauli ni elfu 70
FASTJET lilikuwa shirika la wezi na mafisadi akina MASHA na wenzao .Walilileta geresha tu wakwapue pesa maeneo mengine wakidakwa wasingizie biashara ya ndege!!Rubbish.. iliuliwa na pombe kwa figisu na hila Kama kawaida yake
AULI MPYA ZILIZOPANGWA NA SUMATRA ZA MABASI YA KWENDA MIKOANI KUTOKEA DAR: BEI ZOTE NI KWA SHILINGI YA TANZANIA.Uongo
Okay hebu niwekee balance sheet hapa ya ATCL ya last financial year tuichambue kwa pamoja tuone kama tutakaa tufaidike na hiyo midege.ndege kanda ya ziwa zinabeba samaki kupeleka ulaya na abiria wanaozipanda hubeba samaki kibao wa mwanza kuja nao Dar es salaam mbona kule anazipiga vita wakati ndege huwasaidia soko la samaki zao watu walioko kule ambao wengi ni wavuvi na wafanyabiashara za samaki?
Taabu ilani yao iliandikwa ulaya sasa muda unayoyoma ndio akili zinaanza kumrudia!!
Anakumbuka shuka wakati kumekucha!!!
BAVICHA mushaona matusi ni kawaida.Hebu taja matusi anayotukana.