Tundu Lissu: A politician and a philosopher

I loved this analysis thank you, Nietsche. Tundu Lissu jamani, Mungu akujalie uikoe nchi hii inayoporomokea shimoni kila siku.
.Ha ha ha! Hauko ndani ya nchi hii. Kama kupotea kwa madeal ndio kuindia shimoni let it be!
 
Kama kuwa mlopokaji ndio uphilosopher then anastahili! Wazungu watamtumia kwa faida yao na wala sio kwa faida ya Tanzania!
Jadili hoja zake, acha kumtukana. Kama ni "mlopokaji" mbonai umeshindwa kujibu japo moja kati ya hizo hoja zake lukuki alizoziweka hapo juu?? Acheni UZWAZWA. Na kama mna mrija kwenye huu utawala wa kiuwaji, kaeni kimya! Si bure, wewe utakuwa ni mtu usiyejulikana tu wewe. Nyie subiri tu. Dawa yenu iko jikoni. Mtajulikana tu kudadadeki.
 
Back
Top Bottom