Tundu 'Frankenstein' Lissu

Hapa alikua sahihi sana maana ndio uhalisia...

Kwa mfano, aliposema nchi inaendeshwa kwa misingi ya kikabila na kikanda, huo ulikuwa ni uzushi tu. Zilikuwa ni propaganda tu.
 
Haaaahaaaa pole sana mkuu
Cjui unajiskiaje huko ulipo
 
Kumbe ulitabiri!
 
Ameinuka anatembea, Maoni yako please.
 
Bado unaamini huu upumbavu ulioandika hapa?
 
Hatimaye, three years later utabiri wako unatimia. Lissu amepona na kurudi Tanzania, na mbaya zaidi amekuwa zaidi ya tishio kwa Magufuli na Serikali.

Watanzania wanampenda zaidi na anaenda kuwa Raisi wa Tanzania kwenye uchaguzi wa October 2020
 
heshima kwako mkuu
 

Hili ni andiko lako mwenyewe...

Did you mean this?

Sasa jaribu kubamiza huo mlango wako uone jamaa kama atakimbia kwa kudhani kuwa, wewe Barbarossa (hitman) umerudi tena tena ku - hit....!
 
"Ni muda tu ndo utaotueleza....." mwisho wa kunukuu
 
Classy Nyani Ngabu

Siku zingine unabugi, Ila wakati huu nimegundua unavutiwa na akili kubwa...Karibu!
 
Habari yako ewe Mtu Usiyejulikana!
 
Yametimia, muda sasa unaongea.
 
Classy Nyani Ngabu

Siku zingine unabugi, Ila wakati huu nimegundua unavutiwa na akili kubwa...Karibu!
Nyani Kama Nyani ni mtu mwenye akili sana. Shida yake ni pale ungosha unapomuingiaga kichwani, hapo ndo anajitoaga sana ufahamu.

Akiweka pembeni ukabila na ukanda, Nyani ni great thinker wa kiwango cha juu sana!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…