Umwmsahau na Hamadi Rashid kule Visiwani. Kama CDM walimfualitia Slaaa katika mahusiano yake na falilia yake, walitaka kufahamu aina ya Kiongozi wao kama anapokea maagizo kutoka jikoni.Kama cuf wameweza kumpotezea na kumsahau lipumba... Hivyo hivyo na chadema ni wakati wao mzr kumpotezea slaa
Kwa ajili ya kuepuka viongozi wanaongoza nchi kutokea jikoni kama ambavyo Baba wa Taifa aliwahi kuonya.Kila familia ina issues zake..kwanini uanze kujibu hoja na family attacks? Alipaswa ku stick na core agenda..sikuipenda hii tabia hata kidogo..
Vijana wa Boda Boda au waliokosa ajira?
Suala la ASSET na LIABILITY
Uanasheria wa Lissu uliisha pale tu alipoamua kuwa mwanasiasa, kaongea pumba tu, Dr. Slaa ametoa tuhuma nzito kwa Chadema, hizo blaablaa za kumshambulia mshumbusi ni wazi sasa hawana agenda na hawawezi kumjibu Dr.