Tundu Antipas Lissu on BBC HARDtalk - 21 January 2019

Ratiba ya BBC imeeleweka vipi CNN ataenda kuhojiwa tarehe ngapi vile?
 
Kama wanachafuana wao kwa wao wanasiasa hapo poa ila si kukingamiza taifa letu
 
Stephen sucker. Hiki kichwa ni noma sana kina maswali hatati na kinatafuta data za maana.
Msishangae akiuliza kuhusu ile kauli ya kupiga mbizi au akiuliza kuhusu makonda.
Stev Sucker ni noma sana
Natangaza mgao wa bure wa vinywaji kwa yeyote atakayekuwemo ndani ya Bar ya Kisuma Tandika Mwembeyanga muda ambao Tundu Lissu atakuwa anaunguruma
 
Ninatumia king'amuzi cha DSTV. Ninetazama programme schedule yao Channel ya 400, nimeona ni kweli lakini siyo leo jumapili saa 5:30usiku huu bali ni kesho jumatatu saa 1:30 - 2:00 asubuhi saa za Afrika Mashariki.

Ni mazungumzo ya nusu saa.

Na watakaokuwa wanamhoji ni Stephen Sackur, Zainab Badawi na Sarah Mo....

Kwa wenye king'amuzi cha DSTV, tune Channel 400

Hii ni moja ya Media News kubwa duniani.

Kama Mtanzania mwenzetu aliyepitia madhira makubwa ya hata kunusurika kifo cha shambulizi la ugaidi was kidola dhidi ya raia amepata fursa kwenye media kama hii kueleza lolote, si vibaya kutazama na kusikiliza mazungumzo haya....

Wasiwasi wangu tusishangae TANESCO kuagizwa kukata umeme nchi nzima.....kiss?

Lissu Tundu anaohojiwa na BBC!!
 
Trust me Leo serikal haitalaa watakaa macho kama unabisha baada ya kipind lazma uone msemaji Wa serkali aki twit,then DAB,afu anafuata musiba, na kesho na Yale majarida ya musiba yanasubri iyo habar ndo iandkwe kinyumee...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwan tatizo lipo wapi wamwache kamanda afanye yote lakin akirud sisi wengine tutataka atuambie ukwel nan alimfanyia vile?


Mana naona upand wa kaskazin unautupia sana mawe pand zingine kusin, nyanda za juu,kati na nyanda ya ziwa(hapa zaidi )

Sent using Jamii Forums mobile app
 
GT wa Lumumba
Mnakidhalilisha chama wallah,bora kukaa kimya kuliko kuandika habari mfu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hujaelewa.
Hao kina zainabu badawi etc nao ni baadhi ya waandishi wa Hard Talk.
Ila kesho Tundu lisu atakuwa na mtu mmoja tu naye ni Stephen sucker
 
Hakuna jipya, atajazwa kichwa alopoke wee alafu atapigwa maswali ya mitego na maudhi ,ninaomba aieleze BBC vizuri kwanini dereva ataki kusaidiana na jeshi letu maridadi la polisi.
 
Kesho natabiri umeme kutokuwepo au kutakua na uteuzi/utenguzi/tukio flani ku divert attention.


Sent from my iPhone using JamiiForums

Wala isikupe shida ndugu....

Ni kesho Jumatatu trh 21/01/2019 kuanzia saa 1:30 - 2:00 asubuhi...

Kukatwa kwa umeme, hilo linawezekana kwa 100℅.

Lakini kwa sisi, mahojiano hayo tutayapata hapahapa in full....

Pia tembelea YouTube, Facebook, Twitter na platforms za social medias zingine zote, utayapata mahojiano hayo kwa wakati wako ukiwa kijiweni, ofisini, ama popote...

Hakikisha simu ama kompyuta yako iko full MB na chaji...

Wao kama ni kuzima umeme nchi nzima eti kwa sbb ya TL tu, wafanye hivyo hata sasa!!
 
Kweli kabisa mtoa mada,lissu usimsikilize huyu kichaa namba mbili,naona awama hii vichaa wote tutawajua.
 
GT wa Lumumba
Mnakidhalilisha chama wallah,bora kukaa kimya kuliko kuandika habari mfu.

Sent using Jamii Forums mobile app

Wewe kama hujui hata kuelewa watu wanasemaje, basi wewe ndo mfu. Narudia tena Lissu ana kazi kubwa sana ya kuwafanya mmuelewe. Hadi sasa hamjui nini hasa anataka, na yeye ameendelea kuwaacha dilemma hivyo
 
BBC wajanja katika hiyo taarifa yao wana uma na kupuliz wameandika kwa kulinda maslahi yao mapana na Tanzania na Kiongozi wake yaani Rais.

TL yeye kaamu jino kwa jino na hapo ndipo alipokosea big time. Ajiandae kisokolojia kujibu mapigo.
 
Ndio maana ndugu speaker mapovu kuwa arudi yamemtoka.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wote wanosema arudi nia ni kummalizia na ujue ndiyo walihusika direct au indirect kwenye kutaka kumuua au walihusika japo ku'plan au at least walikuwa wanauju huo mpango.

Akichemka akarudi katika mazingira haya ya kisiasa Bongo basi ajue lazima genge la wahuni lililomshambulia ndiyo litaimalizia kazi ya kumuua,anaweza hata kutunguliwa wakati anshuka ngazi za kwenye ndege na watunguaji wakasepa taratibu kurudi zao Magogoni(or is it Kijitonyama?).
Wanajua wenyewe hilo.
 

Kajihakikishia kuwa serikali inawajibu wa kumpa ulinzi masaa 24 dhidi ya kifo. Sina hakika kama jamaa anaelewa kuwa mwenye mamlka na uhai wa mtu ni Mungu pamoja na kuwa kaponea tundu la sindano.

Nimemuuliza serikali ibaweza kumlinda na kifo cha ajali? UK walishindwa kwa Diana, Tanzania kwa Sokoine nk.
 
Ukweli ndiyo huo anauanika hadharani na uzuri yuko sehemu salama na ataongea kila anachoamini na alichoona kabla na baada ya tukio husika.
Uzuri kuna circumstantial evidence ambazo atakuwa ame'join dots na kupata mlolongo mzima.
Interviews zake zitatupa mwanga zaidi, raha sana kuhojiwa mahali ambapo haubanwi na mtu yoyote kwani unakuwa unatiririka tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…