Tundu Antipas Lissu ndiye mpinzani wa kweli Tanzania

Narumu newz

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2015
Posts
2,319
Reaction score
4,961
Mh. Tundu Antipas Lissu, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) taifa, ndiye mpinzani wa kweli nchini Tanzania.

Serikali ya awamu ya tano (5) chini ya Rais Magufuli, lilitokea jaribio la kutaka kumuua baada ya kushambuliwa kwa risasi akiwa eneo la makazi ya Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Jijini Dodoma.

Na hadi leo hakuna uchunguzi wowote uliofanywa na Serikali ya CCM.
 
Malipo ni hapahapa duniani, Lisu leo na yeye anaitwa dikteta uchwara kwa kutengua teuzi.Karma is realKikombe alichonyweshea wenzake atakinywea
 
Mh. Tundu Antipas Lissu, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) taifa, ndiye mpinzani wa kweli nchini Tanzania.

Serikali ya awamu ya tano (5) chini ya Rais Magufuli, lilitokea jaribio la kutaka kumuua baada ya kushambuliwa kwa risasi akiwa eneo la makazi ya Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Jijini Dodoma.

Na hadi leo hakuna uchunguzi wowote uliofanywa na Serikali ya CCM.
Kwa wewe, una haki ya ku declare hivyo. It is your right.

waliolengwa marisasi ni wengi duniani. Siyo yeye wa kwanza, msimtukuze kwa issue kama hiyo!

Mh. Tundu Antipas Lissu, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) taifa, ndiye mpinzani wa kweli nchini Tanzania.

Serikali ya awamu ya tano (5) chini ya Rais Magufuli, lilitokea jaribio la kutaka kumuua baada ya kushambuliwa kwa risasi akiwa eneo la makazi ya Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Jijini Dodoma.

Na hadi leo hakuna uchunguzi wowote uliofanywa na Serikali ya CCM.
Nilishawahi kusema

Mbowe na kundi Lake ni Opportunist na walikuwa wanabenefit sana na mfumo wa kipuuzi

It is high time now kuachana na upuuzi

Thaïs time tutaelewane
 
1000030731.jpg
 
Wengi tulikuwa hatuamini,ila Kwa hili la g55 tumeamini Mbowe ni tatizo kubwa.
Ile b12 aliyodakishwa na mama Dulla ndiyo anaitafutia matumizi kwani wakati ule wa uchaguzi alitumia kama m300 tu na hakuzirudisha.
 
Mh. Tundu Antipas Lissu, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) taifa, ndiye mpinzani wa kweli nchini Tanzania.

Serikali ya awamu ya tano (5) chini ya Rais Magufuli, lilitokea jaribio la kutaka kumuua baada ya kushambuliwa kwa risasi akiwa eneo la makazi ya Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Jijini Dodoma.

Na hadi leo hakuna uchunguzi wowote uliofanywa na Serikali ya CCM.
Mpinzani kwa sera ya kukinukisha
 
Back
Top Bottom