Tundu A. M. Lissu hapuuziki

Tundu A. M. Lissu hapuuziki

Petro E. Mselewa

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2012
Posts
10,346
Reaction score
26,138
Tangu kwenye kuanza kwa Bunge hili la kumi,Wakili Msomi Tundu A.M.Lissu (Mbunge wa Singida Mashariki-CHADEMA) amekuwa akizungumzia suala la Muungano mara kwa mara. Amekuwa akitoa wito,kwa nyaraka na shahidi mbalimbali, wa kurekebishwa makosa mbalimbali yaliyopo katika Muungano tulionao ili kusonga mbele kama Taifa. Lissu aliendelea kulichambua suala la Muungano kwenye Bunge Maalum la Katiba na hata leo katika Bunge la Bajeti linaloendelea Dodoma.

Kumekuwa na 'mradi' wa wapinzani wake wa kutaka watanzania wampuuze Lissu.Kwamba eti anayoyaongea ni ya kichochezi na hayana maana na msingi kwa Tanzania tuliyonayo. Mimi naamini kuwa Lissu hapuuziki katika hili. Anavyoonekana, amefanya utafiti wa kutosha katika suala hili. Anachokisema popote awapo anakijua,anakiamini na ana uhakika nacho. Hoja hii kwa Lissu sasa imekuwa nyepesi na anaimudu vyema.

Aitwe mchonganishi na mkorofi lakini ataendelea kusema. Kwakuwa anajua anachosema na kumaanisha. Ifike mahali,Serikali itumie hoja za Lissu katika kuuboresha Muungano huu uliopo kwa kurekebisha kasoro anazozitanabaisha Lissu. Kwa vijembe,kejeli,kelele,makofi na vigelegele hoja za Lissu zitabaki na zitaendelea.
 
Semeni na ongeeni muwezavyo but jibuni kwa hoja kama majibu ya maswali yake sio vijembe wajuzi wa mambo tutaendelea kumwamini Lissu
 
Lissu hajatumia busara kutoa maneno ya kashfa kwa waasisi wa Taifa hili na hilo limemshushia heshima sana.....

Mkiulizwa ni maneno yepi hayo mnakimbia........bs kwa vile wewe upo hapa ebu tuwekee kumbu kumbu ya hizo kashfa walizopewa waasisi wetu shekhe wangu?

Labda na sisi tutashawishika na kuungana na uvccm na kinana na nape katika kampeni ya kumwadabisha huyu cha utundu lisu
 
Leo amekuwa mtetezi wa hoja za CUF wakati jana alikuwa mtetezi wa hoja za Tanzania bara.

Leo anasema Tanganyika inainyonya Zanzibar wakati jaza alikuwa anasema Zanzibar inainyonya Tanzania Bara aliwakemea wazanzibari kwa kuvunja katiba ya Tanzania na katika hoja hiyo akasema CHADEMA haiwezi kushirikiana na CUF kwa sababu ya kitendo walichokifanya wakishirikiana na CCM zanzibar.

Sasa hapa sijui nani wa kupuuzwa.

Hizi ajenda zilizojificha zitalipeleka taifa pabaya
 
Lissu hajatumia busara kutoa maneno ya kashfa kwa waasisi wa Taifa hili na hilo limemshushia heshima sana.....

lissu hahitaji heshima kwa mainterahamwe kama wewe mliozoea kuishi kwa uongo,mumezoea vya kunyonga vya kuchinja hamuviwezi! BIG UP SANA KAMANDA LISSU.
 
Mbona mimi Lissu ni mmoja wa wabunge ninaowadharau? Akifuatiwa na LEMA?
 
hamna kitu kinakera kama kusema lisu ametukana waasisi bila kutaja hayo matusi...ccm wanategemea waasis mpaka leo kila kitu nyerere, mmeshindwa kumuenzi mwl. akifufuka leo cjui mtajificha wapi
 
Mkuu Tia neno kidogo kwenye Uzi wa Singasinga aliyekwapua hela zetu bilioni 200, naona unapita pita Tu. Au waliokutuma wamekupa masharti ya vitu vya kuzungumzia?

Kwakuwa unatumwa na CHADEMA kufanya uchochezi, unadhani kila mtu ni dizaini yako? Wengine sisi ni wazalendo, tunaipenda nchi yetu, na tunaipenda Amani.
 
Kwa kweli mm hukosa raha sana pale panapokuwa hakuna balance ya mambo kwenye siasa. Ni imani yangu kuwa wanaopingana na Lissu wana sababu, lakini cha kusikitisha hawajielezi hadharani tukaelewa. Wanashindwa kabisa kumjibu kwa hoja na ushahidi kwani ukisema fulani mwongo basi ww waujua ukweli na hivyo ni bora kuusema huo ukweli. Vinginevyo Kama hamwezi kumjibu Lissu kwa hoja mtaendelea kuwa kituko mbele ya jamii yenye uelewa wa mambo, na la msingi mfunge midomo yenu, ama muamue kuungana nae ktk ukweli huo. Acheni kupoteza muda kwa maneno yaliyofilisika tuleteeni majibu huku
 
Wapuuzi hao.....wamezoea kukumbatia historia tu....na nyie katibiweni basi st.Thomas mzidi kumuenzi huyo mwasisi mnayemuona alikua YESU MNAZARETH
 
Back
Top Bottom