Huenda tunda hilo ni "jicho la tatu/ufahamu wa juu/ higher level of consciousness " kwa sababu zifuatazo:
Mathayo 6:22-23, Waefeso 1:18 na Mwanzo 3:5-7.
Maandiko hayo yote yanagusia "jicho"
Biblia mwanzoni sana inaonesha walipokula tunda macho yao yalifumbiliwa, rejea neno "macho"
Maarifa haya fiche "esoteric knowledge" hayapigiwi chapuo katika mapokeo ya Ukristo kama katika maeneo mengine.
...................................................