JERUSALEMU
JF-Expert Member
- Sep 19, 2012
- 3,156
- 3,628
Hapo Umenena, Tusubiri tuone !2025 siyo mbali.
Kwa Wakurugenzi Hawa Hawa?2025 siyo mbali.
Mimi nadhani Vunjeni Muungano, ili Zanzibar iende zake na Tanganyika waunde serikali yao.Kimsingi Rais Samia amevunja KATIBA ya JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA Kwa kuuza sovernity ya Nchi yetu na kuikasimu wa Waarabu kwa kujua au kwa kuto kujua
unjeni Mungano itatosha kumtowa Madarakani , na Tanganyika undeni serikali yenu
Mbona waoga sana, mnawapgopa waarabu? Acheni uoga.Salamu wanajamvi!
Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza, sisi watanzania ni wanafiki tuna hangaika kuzungu mbuyu wakati ukweli wote uko bayana. Hapo tuna fail...
Salamu wanajamvi!
Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza, sisi watanzania ni wanafiki tuna hangaika kuzungu mbuyu wakati ukweli wote uko bayana. Hapo tuna fail.
Rais wa 42, wa Marekani Bill Clinton kwa kosa la kutembea na mwanamke Monica Lewinsky, mrembo wa miaka 21 ndani ya ikulu ya Marekani ilitosha kuwa impeached na Bunge la Makabwela. Kabla ya kupiga kura, mjadala ulikuwa mkali sana, na wabunge wengi walioneshwa kukerwa na tabia hiyo tena ndani ya Ikulu ya Marekani.
Baada ya mjadala kura zikapigwa, na wengi waliafiki kwamba Bill Clinton awe IMPEACHED. NA IKAWA HIVYO. Sasa, issue yake ikaenda bunge la Senate ili liinidhishe kwa mujibu wa kanuni zao. Huko nako shughuli ilikuwa pevu.akaponea chupu chupu.
Sasa turudi kwenye sakata la DP WORLD na bandari za TANGANYIKA. Kimsingi Rais Samia amevunja KATIBA ya JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA Kwa kuuza sovernity ya Nchi yetu na kuikasimu wa Waarabu kwa kujua au kwa kuto kujua. Hilo halimfanyi asiwe na kosa.
Je, Bunge letu linaweza kumfanyia IMPEACHMENT na hatimaye kuondolewa ofisini kwa kosa lake hili?
Kwa KATIBA hii hii mbovu hilo linawezekana. Shida ni moja kubwa nayo ni udhaifu wa taasisi za kiserikali tulizo nazo. Siwezi kusema hazijitambui , lakini nafikiri huwa zina dhani Rais ni Mungu mtu.
Kwa kosa hili moja tu, Rais Samia alistahili kuwa IMPEACHED, Kwakuwa bado yupo ofisini najiuliza ni kosa gani Rais akifanya atakuwa impeached na kufunguliwa mashitaka?
Kuuza bandari zetu zote na kukabidhi sovernity ya Nchi yetu kwa Waarabu sisi bado tunazunguka mbuyu tu..............!
Kikwete ametuponza kupenda vyeupe kumbe vyengine utajutaSalamu wanajamvi!

SubutuuJe, Bunge letu linaweza kumfanyia IMPEACHMENT na hatimaye kuondolewa ofisini kwa kosa lake hili?
Wema wa Mwalimu Nyerere ndio unaomsababisha Wapemba/Wazanzibari wenye chuki leo wamtukane.expand...
Unaweza kuwa na point lakini unaonekana unaongozwa na mihemeko. Samahani mkuu, wewe mkataba umeuona?Salamu wanajamvi!
Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza, sisi watanzania ni wanafiki tuna hangaika kuzungu mbuyu wakati ukweli wote uko bayana. Hapo tuna fail.
Rais wa 42, wa Marekani Bill Clinton kwa kosa la kutembea na mwanamke Monica Lewinsky, mrembo wa miaka 21 ndani ya ikulu ya Marekani ilitosha kuwa impeached na Bunge la Makabwela. Kabla ya kupiga kura, mjadala ulikuwa mkali sana, na wabunge wengi walioneshwa kukerwa na tabia hiyo tena ndani ya Ikulu ya Marekani.
Baada ya mjadala kura zikapigwa, na wengi waliafiki kwamba Bill Clinton awe IMPEACHED. NA IKAWA HIVYO. Sasa, issue yake ikaenda bunge la Senate ili liinidhishe kwa mujibu wa kanuni zao. Huko nako shughuli ilikuwa pevu.akaponea chupu chupu.
Sasa turudi kwenye sakata la DP WORLD na bandari za TANGANYIKA. Kimsingi Rais Samia amevunja KATIBA ya JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA Kwa kuuza sovernity ya Nchi yetu na kuikasimu wa Waarabu kwa kujua au kwa kuto kujua. Hilo halimfanyi asiwe na kosa.
Je, Bunge letu linaweza kumfanyia IMPEACHMENT na hatimaye kuondolewa ofisini kwa kosa lake hili?
Kwa KATIBA hii hii mbovu hilo linawezekana. Shida ni moja kubwa nayo ni udhaifu wa taasisi za kiserikali tulizo nazo. Siwezi kusema hazijitambui , lakini nafikiri huwa zina dhani Rais ni Mungu mtu.
Kwa kosa hili moja tu, Rais Samia alistahili kuwa IMPEACHED, Kwakuwa bado yupo ofisini najiuliza ni kosa gani Rais akifanya atakuwa impeached na kufunguliwa mashitaka?
Kuuza bandari zetu zote na kukabidhi sovernity ya Nchi yetu kwa Waarabu sisi bado tunazunguka mbuyu tu..............!
Zanzibar ikiamua kujitoa kwenye muungano inaweza hata kesho ikiitisha baraza la wawakilishi wakijadili na kuamua ndio mwisho wa Muungano. Fanyeni hivyoMimi nadhani Vunjeni Muungano,ili Zanzibar iende zake na Tanganyika waunde serikali yao.
Kwa vile Bunge ndio limepitisha haitawezekana kufanya Impnchment
Kuhusu kuuzwa kwa Sovereghnity ya tanganyika nadhani Zanzibar Tunastahiki zaidi Kupewa Sovereghnity yetu NOW.
Nyinyi Bandari mumekuwa wakali kiivyo ,sisi Nchi yetu inakaliwa na Tanganyika kwa miaka 60 sasa hatufurukuti , hali zetu taabani tukoje?
Nadhani unaamanisha amekabidhi "sovereignty" na siyo "sovernity" ya nchi/taifa letu kwa waarabu wa Dubai..Salamu wanajamvi!
Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza, sisi watanzania ni wanafiki tuna hangaika kuzungu mbuyu wakati ukweli wote uko bayana. Hapo tuna fail.
Rais wa 42, wa Marekani Bill Clinton kwa kosa la kutembea na mwanamke Monica Lewinsky, mrembo wa miaka 21 ndani ya ikulu ya Marekani ilitosha kuwa impeached na Bunge la Makabwela. Kabla ya kupiga kura, mjadala ulikuwa mkali sana, na wabunge wengi walioneshwa kukerwa na tabia hiyo tena ndani ya Ikulu ya Marekani.
Baada ya mjadala kura zikapigwa, na wengi waliafiki kwamba Bill Clinton awe IMPEACHED. NA IKAWA HIVYO. Sasa, issue yake ikaenda bunge la Senate ili liinidhishe kwa mujibu wa kanuni zao. Huko nako shughuli ilikuwa pevu.akaponea chupu chupu.
Sasa turudi kwenye sakata la DP WORLD na bandari za TANGANYIKA. Kimsingi Rais Samia amevunja KATIBA ya JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA Kwa kuuza sovernity ya Nchi yetu na kuikasimu wa Waarabu kwa kujua au kwa kuto kujua. Hilo halimfanyi asiwe na kosa.
Je, Bunge letu linaweza kumfanyia IMPEACHMENT na hatimaye kuondolewa ofisini kwa kosa lake hili?
Kwa KATIBA hii hii mbovu hilo linawezekana. Shida ni moja kubwa nayo ni udhaifu wa taasisi za kiserikali tulizo nazo. Siwezi kusema hazijitambui , lakini nafikiri huwa zina dhani Rais ni Mungu mtu.
Kwa kosa hili moja tu, Rais Samia alistahili kuwa IMPEACHED, Kwakuwa bado yupo ofisini najiuliza ni kosa gani Rais akifanya atakuwa impeached na kufunguliwa mashitaka?
Kuuza bandari zetu zote na kukabidhi sovernity ya Nchi yetu kwa Waarabu sisi bado tunazunguka mbuyu tu..............!
50% ya Teuzi Tanganyika ni Wazanzibari, kuanzia chamani, jeshini, serikalini etcIlikuwaje akagombea kule Mkuranga baadaye akaja kugombea huku ?? Mbona sheria na katiba haziruhusu ??
50% ya Teuzi Tanganyika ni Wazanzibari, kuanzia chamani, jeshini, serikalini etc
Hadi wanachama wa ACT kina Jussa wameteuliwa.
Uliusoma mkataba unasema nini au umeambiwa na Maaskofu wako kanisani ??Nadhani unaamanisha amekabidhi "sovereignty" na siyo "sovernity" ya nchi/taifa letu kwa waarabu wa Dubai..
All in all, I agree with you. Anayepaswa kuondoka na kuiacha nchi yetu ni Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuvunja na kuinajisi katiba yetu..
Kitendo hiki 100% ni kosa la UHAINI dhidi ya nchi na wananchi wa Tanzania..
Tunawaandama kina PM Kassim Majaliwa au waziri Prof Mbarawa au AG lakini ukweli ni kuwa, mzizi wa fitina ni kwenye center/neclear yenyewe, yaani Ikulu...
Na huyu angekuwa na akili ya kujiokoa, basi ilitegemewa angekuwa anechukua hatua ya kuwatoa sadaka baadhi ya wateule wake Kwa kisingizio Cha "walinishauri vibaya" lakini hadi amekaa kimya tu kama zuzu vile huku mambo yakiendelea kuwa mabaya...
Nchi hii kwa sasa inahitaji uongozi kwelikweli before it's too late...!
Nimesuliza wataalamu wa sheria na Mimi kuusoma mwanzo mwisho na kuelewa hatua Kwa hatua. Kama una swali uliza ujibiwe sasa hivi..Uliusoma mkataba unasema nini au umeambiwa na Maaskofu wako kanisani ??