Si tumezindua daraja juzi, au hamwoni? Kahela kenyewe kadogo. We fikiria wastaafu (Sumaye, Mkapa, Mwinyi,Lowasa, Msuya) woote
tunawalipa 80% ya waliopo sasa! Vile vigari vyetu vya VX G8 si mnaona vinavyokula ufuta kidogo? Sasa na vile viposho vidogo kwa
kweli hela haitoshi. Kasungura kadogo . . .