Tunazidi Kurudi Nyuma

Huyo mgonjwa ana drip ya bia? Hii fix bwana!

Nadhani sio kweli, ni fix tu kama ulivyoiita! fluid in the bottle will never drip into the vein as there is no external force/energy to drive the fluid into the vein since no gravitational force is applied. Angalia chupa ilivyokaa up right! Ingelikuwa upside down then......
 
dah ngoja nimtafute huyu doctor nami amipe dozi, mi nataka ya konyagi
 

Walitaka kutokelezea tu hao, kwanza hajatoboa mshipa wapo kwenye maigizo tu.
 
Hiyo ni sanaa ya uigizaji
nadharia ya 'ukiushi' kwa maana kwamba wanafanya mambo kinyume na kawaida
tangu lini dripu inawekwa chupa ikitazama juu badala ya kugeuzwa na kutazama chini?
Dripu inshikizwa kwenye stendi yeye kaishikilia mkononi mwake
fiksi
 
hutu jamaa inabidi akaishi kwenye kiwanda cha bia, kama hali yenyewe ndio hii
 
Makubwa

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…