Tunayopenda Tusahau

Mohamed Said

JF-Expert Member
Nov 2, 2008
20,925
30,273
TUNAYOPENDA TUSAHAU
Kuna mambo wala huhitaji kuyaeleza.

Huhitaji kueleza historia ya Auschwitz.
Dunia nzima inaijua.

Kitabu hiki ni muhimu katika kuijua historia ya mauaji haya ya tarehe 26 na 27 Januari 2001.

Kitabu hiki alinipa Prof. Lipumba na aliniandikia alichotaka nifanye baada ya kukisoma.

1706388805616.png

1706388868551.png

1706388901135.png

TUNAYOPENDA TUSAHAU
Kuna mambo wala huhitaji kuyaeleza.

Huhitaji kueleza historia ya Auschwitz.
Dunia nzima inaijua.

Kitabu hiki ni muhimu katika kuijua historia ya mauaji haya ya tarehe 26 na 27 Januari 2001.

Kitabu hiki alinipa Prof. Lipumba na aliniandikia alichotaka nifanye baada ya kukisoma.

View attachment 2885184
View attachment 2885185
View attachment 2885186

Kumbe memorial ya mauwaji haya ndio tunachomekewa kuwa birthday ya mama wa Kizimkazi.

Ila Lipumba ni Msaliti, ni Profesa wahovyo kabisa akifuatiwa na Profesa Kabudi.
 
Yule MNazi alitaka kuwapoteza Jews wote Dunia nzima?
 
Ebu eleza vizuri wengine hatukuwepo, Mauaji ya 2001 yamefanyaje? Alikufa nani na aliua nani? Yana tija gani kuenzi kumbukumbu zake mpaka vitabuni?
 
TUNAYOPENDA TUSAHAU
Kuna mambo wala huhitaji kuyaeleza.

Huhitaji kueleza historia ya Auschwitz.
Dunia nzima inaijua.

Kitabu hiki ni muhimu katika kuijua historia ya mauaji haya ya tarehe 26 na 27 Januari 2001.

Kitabu hiki alinipa Prof. Lipumba na aliniandikia alichotaka nifanye baada ya kukisoma.

View attachment 2885184
View attachment 2885185
View attachment 2885186

Mohamed, unajisikiaje kupost vitu vyenye uelekeo wa kupalilia chuki kwa misingi ya imani za kidini? Hayo mauaji unayoyafanyia reference, unatuletea hizo picha mulizogawiana na Lipumba gesti ili iweje? Nijuwavyo Lipumba ni kiongozi wa chama cha siasa kumbe uchochoroni ni gaidi anaejaribu kueneza chuki za kidini, siyo? Too low for a Prof. to behave such way.

Kwenye post yako moja ya Rais kupewa mwaliko Vatican unahusisha mwaliko huo na maswala ya bandari na mikataba ya DPW, na umejaribu kujitungia na kueleza vitu vya hovyo kabisa. Hivi wewe ukoje? Unadhani huko Vatican wana shida na hizi bandari zenu? TEC ni Baraza la maaskofu hapa Tanzania, si Baraza la Vatican na Chadema ni chama cha siasa hakina uhusiano ama na Ukatoliki au dini yoyote, iweje uwafungamanishe hata kama hoja zao zilikuwa za aina moja kwenye kupinga mkataba wa hovyo ambao serikali ilitaka kuingia na hiyo kampuni.
 
Mbussi,
"Picha muluzogawana na Lipumba gesti."

Unapoandika ukiwa una ghadhab lugha inakuwa si ya kiungwana

Hizo si photographs.

Moja ni cover ya kitabu na hiyo nyingine gamba la ndani na maneno aliyoniandikia.
 
Mohamed, pale mlipopiga picha na Lipumba panaonekana kama guest house. Lakini hiyo siyo hoja.

Cover photo ya hicho kitabu inapalilia chuki na kama sikosehi kinachoongelewa hapa ni mauaji yaliyotokana na fujo za Mwembechai - Magomeni. Ni bahati nzuri niseme huu ulikuwa ni utawala wa Mwinyi.

Viongozi wa kisiasa waliofilisika sera na kutaka kutumia dini kama mtaji wa kisiasa, walijaribu kulikuza jambo hili ili kuonyesha kuwa hayo mauaji yalitokana na chuki za kidini hasa ukatoriki na uslam.

Hebu niambie Mohammed, picha ya huo mwili kwenye cover, kama ni ndugu wako wa karibu, utajisikiaje ikisambazwa ktk hali hiyo?

Nashidwa kuelewa ni kwanini Prof. Lipumba msomi na mwanasiasa wa muda mrefu alivyoshawishika kuwa agent wa kusambaza vitu kama hivi. Ni kutonesha vidonda na kukwangua upya madonda ya mioyo iliyoanza kupona.
 
Mimi nimeandika kuhusu mauaji ya Pemba ya mwaka 2001.
 
Ohooo sawa Mohamed, angalia sasa misimamo yako dhidi ya imani nyingine ilipelekea niwaze Mwembechai. Kwa vyovyote vile si vyema kutumia hii cover photo kwenye hicho kitabu, na si vyema kuandika story na kuiachia njiani kama ulivyofanya kwenye hili bandiko.
 
Sina msimamo wowote dhidi ya dini yeyote.

Wala hakuna ushahidi popote kuwa Uislam ulipata kupanga njama dhidi ya dini nyingine.

Soma kitabu cha Abdul Sykes uone historia ya Waislam katika kujenga umoja.

Tazama picha hizo hapo chini:
 
Ohooo sawa Mohamed, angalia sasa misimamo yako dhidi ya imani nyingine ilipelekea niwaze Mwembechai. Kwa vyovyote vile si vyema kutumia hii cover photo kwenye hicho kitabu, na si vyema kuandika story na kuiachia njiani kama ulivyofanya kwenye hili bandiko.
1706819139498.png

Baraza la Wazee wa TANU 1957
1706819204803.png

Mshume Kiyate na Julius Nyerere 1964

1706819350134.png

Kulia Haruna Taratibu, Saadan Abdu Kandoro, Julius Nyerere, Sheikh Mohamed Ramiyya na Iddi Faiz Mafungo​
 
Na huko guest mulienda kufanya nini ninyi wapemba?

1706820196992.jpeg

Dar es Salaam 1995
1706820255484.jpeg

Tanga 1995
1706820326422.jpeg

1706820701684.png

Ukurasa kutoka shajara (diary) yangu
Ilikuwa Jumatano tarehe 18 Oktoba 1995 tuko katika harakati za Uchaguzi Mkuu wa kwanza wa vyama vingi Tanzania.

CUF mgombea wake wa urais Tanzania Bara ni Prof. Ibrahim Haruna Lipumba kijana msomi wa uchumi wa Princeton University Marekani.

Vipi ghafla aliingia katika siasa kipindi kile ni kisa cha kujitegemea na iko siku In Shaa Allah tutakieleza.

Siku hii ya Jumatano Oktoba 1995 katika shajara yangu niliandika maneno haya ambayo kwa wanaojua Kiingereza watayasoma hapo juu.

Leo nikiangalia nyuma nashindwa kupata jibu ni kitu gani kilichonifanya mimi niwe naandika kwa Kiingereza badala ya lugha yangu Kiswahili.

Tafsiri ya maneno hayo ni hii hapo chini:

‘’Nimeondoka na basi.

Nilipanga kwenda hadi Segera na kutoea hapo nipande basi linalotoka Dar es Salaam kwenda Tanga.

Lakini tulipokuwa Korogwe, nikaona, ‘’convoy,’’ yetu ya kampeni inaingia Korogwe kwa hiyo nikashuka pale.

Tulifanya mkutano hapo na baada ya mkutano nikaondoka na Tamim na Kassim katika Musso kuelekea Tanga.

Prof. Lipumba alifanya mikutano miwili Muheza na Pangani.

Tulikusudia kutafuta mahali pa kuificha gari yetu.
Tulipanga Rose Inn.

CUF Tanga ina nguvu kubwa.

Tulifanya mkutano mkubwa sana.
Lipumba alinambia mkutano huu ulikuwa mkubwa kupita yote.''

Attachments

  • 1706820409185.png
    1706820409185.png
    102.4 KB · Views: 5
View attachment 2891227
Baraza la Wazee wa TANU 1957
View attachment 2891228
Mshume Kiyate na Julius Nyerere 1964

View attachment 2891233
Kulia Haruna Taratibu, Saadan Abdu Kandoro, Julius Nyerere, Sheikh Mohamed Ramiyya na Iddi Faiz Mafungo​
Shida yako ni moja bwana Said, umeokoteleza hizi picha za Nyerere alizopiga na Waislam ili iweje? Huyo Nyerere kipindi anajiunga na chama kupigania uhuru hakukuwa na Wakiristo, mbona huleti picha zao? Kupiga picha na mtu kwenye tukio fulani ni jambo la kawaida ila wewe unataka kutuaminisha kila picha iliyopigwa ni ya harakati za kutafuta Uhuru, kitu ambacho kinaweza kisiwe kweli. Alafu unaporudia tena na tena watu tusome kitabu cha Sykes, unashawishi vipi kuwa yeye Sykes hakupika hiyo story kuvutia upande wake?

Narudia tena kusema, hao Waislam kama ilivyokuwa kwa Wakristo na wasio na dini walipigania Uhuru kwasababu ya Utanganyika wao siyo kwasababu ya dini zao. Ukitofautisha hivi vitu utakaa kwa amani sana.
 
Shida yako ni moja bwana Said, umeokoteleza hizi picha za Nyerere alizopiga na Waislam ili iweje? Huyo Nyerere kipindi anajiunga na chama kupigania uhuru hakukuwa na Wakiristo, mbona huleti picha zao? Kupiga picha na mtu kwenye tukio fulani ni jambo la kawaida ila wewe unataka kutuaminisha kila picha iliyopigwa ni ya harakati za kutafuta Uhuru, kitu ambacho kinaweza kisiwe kweli. Alafu unaporudia tena na tena watu tusome kitabu cha Sykes, unashawishi vipi kuwa yeye Sykes hakupika hiyo story kuvutia upande wake?

Narudia tena kusema, hao Waislam kama ilivyokuwa kwa Wakristo na wasio na dini walipigania Uhuru kwasababu ya Utanganyika wao siyo kwasababu ya dini zao. Ukitofautisha hivi vitu utakaa kwa amani sana.Si
Mbussi,
Picha zote unazoziona si za kuokota.

Picha hizi nyingi nilizipata kutoka kwa Jim Bailey African Collection, Johannesburg ambae nilijulishwa kwake na Ally Sykes.

Jim Bailey akanipa kazi ya kuhariri kitabu cha Nyerere na katika kazi hii ndipo nilipopata picha nyingi adimu za harakati za kupigania uhuru wa Tanganyika.

Picha nyingine ni kutoka kwa Maktaba ya Picha ya Sykes.
Nyingine wananiletea watoto wa wapigania uhuru.

Picha ya Baraza la Wazee wa TANU nimeipata kutoka kwa Msakala Mohamed Tambaza mjukuu wa Jumbe Tambaza.

Picha ya Mshume Kiyate na Julius Nyerere nimeipata kutoka kwa Mzee Kissinger ambae ana maktaba kubwa sana ya magazeti ya zamani.

Huyu mimi ni mwalimu wangu.
Sina picha ya kuokota.

Katika historia hii sikupata kukutana na Wapagani kokote nilikopita.
Si katika uongozi wa TANU wala wanachama wake.

Nimependa fikra yako kuwa historia ya Sykes ni ya kutunga.
Amini hivyo wewe utakuwa katika amani kubwa unayoniombea mimi.
 
Tena gesti ya uswazi, huu uprofesa hiiii

Prof. Ibrahim Lipumba ni msomi wa kutajika katika kundi kubwa lolote la wasomi popote pale duniani.

Prof. Lipumba aliingia katika siasa mwaka wa 1995 si kwa mapenzi yake bali kwa kuchagizwa na marafiki zake kufuatia kifo cha ghafla cha Prof. Kighoma Malima.

Mwaka wa 1995 aligombea urais kwa tiketi ya CUF na kuanzia hapo aliweza kuijenga CUF kufikia kuwa chama chenye nguvu.

Lakini kubwa katika historia ya vyama vya siasa Tanzania ni kule CUF Bara kwa wakati ule kutia nguvu kubwa katika siasa za visiwani na kuifanya CUF chama pekee katika vyama vya upinzani ukiondoa CCM, chenye wafuasi wengi Tanzania Visiwani na Tanzania Bara.

Hakuna chama chochote Bara ambacho kimeweza kutimiza hili.

Katika haya yote mchango wa Prof. Lipumba ulikuwa mkubwa sana usio na kifani.

(Mohamed Said Historia, Siasa na Maendeleo Tanzania August 22, 2016 0)

1706847615331.png

Prof. Lipumba wa kwanza kushoto, Shekue Pashua na wanachama wa CUF nyumbani kwa Mama Ummi bint Anzuani (aliyevaa nguo nyekundu) Tanga 1995​
 
View attachment 2891363
Prof. Lipumba wa kwanza kushoto, Shekue Pashua na wanachama wa CUF nyumbani kwa Mama Ummi bint Anzuani (aliyevaa nguo nyekundu) Tanga 1995​
Kwa maana hiyo mzee Said uliipenda CUF kwa kuwa Viongozi wake wote ni Waislam? Tuambie Ushawishi wa Lipumba ktk siasa za Tanzania uliishia wapi?
Udini wake na usaliti vilimfanya aonekane mtu wa hovyo katika siasa za Tanzania.
 
Umesema kweli niliipenda CUF si kwa Uislam tu bali kwa kuwa haikuwa na uadui na Waislam.

Kuhusu hayo mengine siwezi kuyazungumza kwa kuwa yeye hapa hayupo.

Ni "ovyo" ndiyo Kiswahili safi si "hovyo."
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom