Tunaweza kujifunza wote?

Tunaweza kujifunza wote?

Costa concodia

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2014
Posts
209
Reaction score
48
1. Upendo
2. wema
3. ukarimu
4. utu
5. huruma
Kupitia maneno hayo juu naomba tutafakari namna tunavyowatendea watu tunaowafaha na tusiowafahamu.Binafsi nimefikia hitimisho la kuamini kuwa hakuna mtu mwenye sifa hizo hapo juu ila tu inaweza kutokea akawa nayo kwa mtu wa kwao au rafiki yake tu.
Naomba kila mtu atafakari maneno hayo matano yanayofanana na kupima jinsi ulivyowatendea wenzako muda mfupi tu uliopita na jinsi wanavyojisikia kwa kuwatendea hivyo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom