Mhe. Mzee MwanaKijiji,
Nakubaliana nawe asilimia mia moja na Mada yako "Tunawaudhi". Naamini pia kwamba Watanzania wengi wanaanza kuwaelewa wazalendo wa aina ya MMK.
Pendekezo langu ni kwamba niwasiliane na wewe binafsi; ikiwezekana tuzungumze ana kwa ana, jinsi ya kusaidiana kuendeleza haya mawazo. JF watakupa e-mail yangu.