kimboka one
JF-Expert Member
- Jan 23, 2010
- 734
- 85
magreth sitta alikuwa CWT Kama mwanahasakati leo unamsikia?.then mtazame aliyekuwa Kamanda Kutoka kigoma KABURU leo wapi?Hapo penye nyekundu panahitaji ufafanuzi, ingalau muuliza swali angetoa mifano kuliko kutoa sentensi ya jumla jumla.
Wanasemaje juu ya mfumuko wa bei wa sasa? Dar nasikia 'sado' ya nyanya iliyokuwa inauzwa 2,000 mwezi Disemba leo inauzwa 7,000!
Wanaharakati wakumbuke kwamba wanaweza kushinikiza serikali iwaondoe wahusika, lakini serikali haiwajibiki kwao wanaharakati na hivyo inaweza isiwaondoe madarakani hao wahusika. Naikitokea hivyo, wanaharakati watafanya lipi?Hatua ya pili Wanaharakati wanasema watahakikisha waliohusika katika uzembe uliosababisha Vifo wanaondoka akiwemo Waziri na Naibu wake - Marcus Albany
Nawapongeza wanaharakati kwa kazi yao ila nataka wanijulishe.
1. Hivi Chadema wakikosa wanaweza kutoka nje na kuwapinga?.
2. Kila wakati waalimu wanatishia kugoma kwa madai yao ya msingi, ninyi wanaharakati kwanini Msisaidie CWT kufanikisha madai yao, badala ya kusubiri wagome ndiyo waingilie kati? Bora kinga kuliko tiba
CWT ni 'trade union' nasio wanaharakati, mama Sita alichomekwa ktk uongozi wa CWT na serikali ili kupunguza makali ya CWT, na kwa hilo serikali ilifanikiwa.magreth sitta alikuwa CWT Kama mwanahasakati leo unamsikia?.then mtazame aliyekuwa Kamanda Kutoka kigoma KABURU leo wapi?
Ndugu yangu Saint Ivuga, tangu lini wanamtandao wakashitakiana?hao waliosababisha vifo hasa mawazir na watu wengine wa ngazi za juu hakuna uwezekano wa kuwashtaki?
magreth sitta alikuwa CWT Kama mwanahasakati leo unamsikia?.then mtazame aliyekuwa Kamanda Kutoka kigoma KABURU leo wapi?
Anaitwa Prof Wangari Mathai mkuuNDUGU YAHAY,
kwanza hongera kwa mada yako nzuri.
hebu wajameni tusimame katika ukweli.tz hatuna wanaharakati,tuna wafungua vinywa.
kwa sababu,kll!ama wangekuepo,hii nchi isingefika hapo ilipo.kila kona inanuka uvundo.
ukiangalia kuna wanaharakati kila idara,eg wapo wa mazingira,siasa,wanawake etc.ila wamejaa uwoga wa kupindukia,wanaongea ili wapate fedha toka kwa wafadhili.
chek ishu za mswada wa katiba,pongezi chadema.ilikua ipite kama ilivyokua..jukwaa la katiba a.k.a kibamba wanatia kinyaaa.
walaiiiiiini!! hebu wajifunze mfano wa mkenya yule mwana-mama aliefariki majuzi profesa(nimesahau jina).
bonge la fighter!!
mkuu jina wala si hoja.ila nitaka wanaharakati pamoja na kazi zao nzuri,waingilie kati matatizo ya waalimu ata kwa maandamano nchi nzima kwa kila alifundishwa na waalimu ajitokeze kupinga unyanyasaji na kupuuzwa kwa madai ya waalimu.tukisubiri mpaka wagome au waendelee na mgomo baridi wa sasa,madhara yake ni makubwa zaidi.kuwa na taifa la wajinga ni hatari mkuukimboka jina zuri sana usiliaibishe unataka unataka wanaharakati wawasaidiaje walimu kupata madai yao zaidi ya kuandamana na kupiga makelele ndio kazi yao kama pressure group kwani hawana serikali na wala hawana uwezo wa kuwalipa mishahara au posho wanazozidai. kupiga kwao makelele huko huko kunatosha inabidi uwashukuru kwa kukubali kupigwa virungu barabarani kutetea maslahi ya wengine.