haya mkuu
si angepewa cheo chake cha kiongozi mkuu vinginevyo zitto aseme cheo chake kinaukomo? Ninyi wasaliti mjipange
haya mkuu
Siasa za Zitto zinaleta maswali mengi
anakataa posho halafu anaomba kuchangiwa
hili la posho kama atapata wabunge basi kuwaambia wakatae posho litazua bonge la mgogoro
na haijulikani hasa source ya pesa zao iko wapi
Siasa za Zitto zinaleta maswali mengi
anakataa posho halafu anaomba kuchangiwa
hili la posho kama atapata wabunge basi kuwaambia wakatae posho litazua bonge la mgogoro
na haijulikani hasa source ya pesa zao iko wapi
Jipangeni kwa msimu mwingine ujao, kwa sasa ushiriki wenu ni kama sehemu ya demokrasia. Jana bahati mbaya sana Campaign Manager wenu (sikumbuki jina lake) alianza kwa matusi sana. Watu wenye akili zetu hatuhitaji kusikiliza matusi, tunahitaji kusikia vitu vya maana pamoja na sera. ZZK Ulifanya kitu cha maana to clear it out kwa kuomba msamaha. It should be a lesson kwake, hopefully hatarudia.
Yaani nilikuwa namuamini Sana zitto na nilikuwa niwape ACT wazalendo kura yangu ila kwa siasa za Jana za matusi na kuponda upinzani, bora kufa kuliko kuwachagua wanafki ACT wazalendo
Umewai kuisoma katiba ya act wewe, unapo ropoka jua kuya dadavuasi angepewa cheo chake cha kiongozi mkuu vinginevyo zitto aseme cheo chake kinaukomo? Ninyi wasaliti mjipange