Tunawarudishia Morrison + Ajibu wa nyongeza, tuachieni Chama chetu

Chonde chonde GSM, Eng Hersi na wana uto wote, tuachieni Chama wetu kama kisasi ni Morrison sisi tutawarudishia na tutawapa Ajibu kama nyongeza.

Kinachoendelea huko Istagram kinatuumiza sisi mashabiki.

Boss MO tafadhali ingilia kati hili suala.
Nadhani cha muhimu kwa MO ni kuweka ile bil 20 kwanza
 
Back
Top Bottom