Tunawapenda Polisi wetu

hahahaha, jamaa hapo juu anasema hawapendi hawa jamaa. vipi walikukamata ukiwa na kosa nini au unatafutwa hawajakukamata...
 
hahahaha, jamaa hapo juu anasema hawapendi hawa jamaa. vipi walikukamata ukiwa na kosa nini au unatafutwa hawajakukamata...


Sijawahi kamatwa wala sio mhalifu ila jamaa wanakera sana hao.sidhani kwa mabaya yao kuna mtu anawapenda...nilikua na kesi,nikiwa kama mlalamikaji lakini nilikomaje?mara hela ya vocha mara nipe hela ya mafuta siunajua nipo na viongozi wale ndani ya gari nao wanataka posho.ukiangalia hapo nimeibiwa ndio nawaomba kampani ya kwenda kumchukua mwizi wangu..

Rushwa bongo ndio dili kwao...
 
Hawa jamaa niwajinga sana, utakuta wanatuambia tusitanue tukiwa tunaendesha magari yetu ili tutii sheria bila shuruti, halafu wakati huohuo utakuta wao ndo wanaongoza kwa kutanua barabarani, hata hapo kwenye picha walikuwa wanataka kutanua bila kujua kuwa wanakwenda kwenye mtaro ndo yakawakuwa hayo masahiba
 
Sio wote wabaya wengine ni wema sana na wana misaada taizo ni ugumu wa maisha tu, Mnawalaumu tu wanamazingira magumu sana ya kazi. ila wakiingia watu wa kazi na mashine zao zinaimba mbona mnawahi sana kuwapigia? ni bora kuacha kuwapigia maana waswahili wana msemo baniani mbaya lakini kiatu chake ni dawa
 
Huyo askari si anajuwa kawaida yetu, akitoka hapo atowe chochote!
 

bora ww umeongea mkuu...... Unajua sisi binadamu kosa la mtu mmoja tunaunganisha kwa wote wakat huo tumesahau kuwa kila binadamu anamoyo wake na tabia yake tofauti...... Kuna siku mm yalinikuta na ndipo nikautambua umuhim wa hawa jamaa. Sitakuja kuwachukia polis wote ila ntakuja kumchukia polis yule asiye na maadili
 
Twende mwalimu ,wanafunzi wote tayari tumeshawatoa
 
Polisi huwa si rafiki wala adui wa kudumu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…