ndio nini sasa hii umeandikaZa leo wadau
Kwa niaba ya
Niletee huyo! Nimkate wenge!Una hamu na wanaume wa dar?
jamani wanaume wa dar kuna shoga limejileta njooni mpige mashineMumepunguza sana ulaji wa chipsi na ile kampeni yenu ya chipsi kyepe mmeiacha na kusababisha mdolo wa bei za viazi huku mikoani.
Hamasishaneni na dada zenu muendelee kula chipsi
Tuliwadharau sana kwa ulaji wa kwepe tusijue nyny n watu mhimu kwenye soko la viazi
Viazi vinakuja vimeoshwa!!Mdau mleta mada anatoka nyanda za juu kisini
Mbeya,njombe,iringa kunakozalishwa viazi chips
Lalamiko lako si kwamba watu wamepunguza kula chips dar kuna wajuvi wa hiyo biashara wamewazidi akili wanaingiza mzigo town ontime tena ukiwa umeoshwa kabisa yaani kiaazi kisafiiiiii huna haja ya kukiosha
Unakata tu na kutia kwenye mafuta
Ushauri!
Ni wakati wa kubadilika sasa ze farmer huko uliko na kuweza kuendana na soko
Kenya!...Viazi vinakuja vimeoshwa!!
Vinatoka wapi Kenya ama hapahapa Tanzania??
Hahahaahah[emoji13] [emoji13]ndio nini sasa hii umeandika
original post yake ndio hiyoHahahaahah[emoji13] [emoji13]
Amechanganywa na hii hali ya mkuluoriginal post yake ndio hiyo
noma sanaAmechanganywa na hii hali ya mkulu
Mengi tutayaona awamu hii kamandanoma sana