TheJungleMaster
Member
- Mar 20, 2017
- 74
- 124
Dawa sio kushindana Nao.
dawa ni kuwazidi akili, watanyooka
Hahaha your presence is my happiness mamy
Missed you too..
Furaha yangu ni yako pia mamy kasie
Remember love slogan
Love it Live it owe it. Haha
NotedUmenena vyema.... ukifanikiwa kuwa na mwanamke na ukamzidi akili basi hatokusumbua na utaishi nae vizuri tuu hadi uzee wenu na mahusiano yenu yatakuwa na amani muda wote.
Nasema hivyo kwasababu wanawake wanatumia akili sana kufikiria jambo, kulipima na kuhukumu. Ndo maana ni wepesi kusamehe hata ikiwa amekufumania uso kwa uso macho kwa macho aka ready handed.
Nikisema kumzidi akili mwanamke simaanishi akili as kufaulu mtihani bali akili as kuishi maisha ya kila siku na kukabiliana na changamoto zinazokuja mbele.
Pata picha mwanaume uko shallow kichwani kikwazo, kihekima, kiuvumbuzi hata matusi saa ingine huyajui halafu unakuwa na mke kama Kasie ambaye anayajua matusi yote ya dunia hii, muda wote akili yake iko wazi kutafsiri aka my digest anachokisoma anachokiandika na anachokiongea wakati huo huo anaimba, anacheka, huku anaendesha gari..... halafu hajui kugombana ila akiudhika atakwambia ukweli kuwa umemuudhi na ukiendelea anakuepa tuu wala hajishughulishi tena na wewe.... anasonga mbele bila figisu figisu moyoni wala akilini.... peace and love all the time.
Saying all this simpigii promo Kasie that's how she is.... just ask Daby he may tell you more.
All in All huishi na mwanamke kwa akili umefaulu kumteka na kummiliki mwanamke. Hii inamaana hata akicheat utajua tuu kwasababu akili ya mwanamke huwa inajisafisha kuanzia akilini nafsi hadi uso kwa nje yaani body gesture na kama mwanamke amekuzidi akili wewe mwanaume.... hutokaa umuelewe umjue wala ummiliki hata kidogo.
Nimewaibia siri ya wanawake itumieni kwa akili maana mkienda kichwa kichwa imekula kwenu.
Salute to you soldier aka mjeda Daby...😉
Natafuta mkeUMEPATWA NA NINI?
[emoji4][emoji4].. sidhani kama kuna sababu nyingine ya upendo wangu kwako maana naona umemaliza kila kitu hapa. Respect to Mamy.Umenena vyema.... ukifanikiwa kuwa na mwanamke na ukamzidi akili basi hatokusumbua na utaishi nae vizuri tuu hadi uzee wenu na mahusiano yenu yatakuwa na amani muda wote.
Nasema hivyo kwasababu wanawake wanatumia akili sana kufikiria jambo, kulipima na kuhukumu. Ndo maana ni wepesi kusamehe hata ikiwa amekufumania uso kwa uso macho kwa macho aka ready handed.
Nikisema kumzidi akili mwanamke simaanishi akili za kufaulu mtihani bali akili za kuishi maisha ya kila siku na kukabiliana na changamoto zinazokuja mbele.
Pata picha mwanaume uko shallow kichwani kimawazo, kihekima, kiuvumbuzi hata matusi saa ingine huyajui halafu unakuwa na mke kama Kasie ambaye anayajua matusi yote ya dunia hii, muda wote akili yake iko wazi kutafsiri aka ku digest anachokisoma anachokiandika na anachokiongea wakati huo huo anaimba, anacheka, huku anaendesha gari..... halafu hajui kugombana ila akiudhika atakwambia ukweli kuwa umemuudhi na ukiendelea anakuepa tuu wala hajishughulishi tena na wewe.... anasonga mbele bila figisu figisu moyoni wala akilini.... peace and love all the time.
Saying all this simpigii promo Kasie that's how she is.... just ask Daby he may tell you more.
All in All ukiishi na mwanamke kwa akili umefaulu kumteka na kummiliki mwanamke. Hii inamaana hata akicheat utajua tuu kwasababu akili ya mwanamke huwa inajisafisha kuanzia akilini nafsi hadi uso kwa nje yaani body gesture ( wanawake ni mabingwa wa kujikausha na kifo cha hisia au kosa alilotoka kulifanya tofauti na wanaume hutumia nguvu na ubabe kufuta makosa yao) na kama mwanamke amekuzidi akili wewe mwanaume.... hutokaa umuelewe umjue wala ummiliki hata kidogo, kama huna pesa na mbouo ya kumuuliza atacheza na akili yako akusome ukoje kisha anaendesha mambo yake bila wewe kujua...
Nimewaibia siri ya wanawake itumieni kwa akili maana mkienda kichwa kichwa imekula kwenu.
Salute to you soldier aka mjeda Daby...😉
Thank you Dady....
Happy Good Friday soldier Daby.
Wach iti.[emoji23] [emoji23] [emoji23]Lol! Bashite language I wish I KUDU BE IGP not to zat extent.
L
[emoji4][emoji4].. sidhani kama kuna sababu nyingine ya upendo wangu kwako maana naona umemaliza kila kitu hapa. Respect to Mamy.
apo naamini mkuuNatafuta mke
Ila sio wa kuwaamini sana hawa, ndo wanaofanya watu walewe mida ya kazi.