Tunawadharau sana wanawake

Amina babangu
 
Binadamu wote ni sawa, jinsha ni muitikio tu.
 

Nashukuru kwa salamu njema kuelekea jum a la pasaka. Mimi ni mwanamke na nimefurahia sifa ulizozimwaga hapa.
 
Na kweli mi nikiwazaga kuwa "hivi siku wanawake wasipokuwepo duniani ntaishije? "

Yaani papuchi itakuwa ni historia kuwa zamani kilikuwepo kitu kitamu katikati ya miguu ya binadamu mwanamke kinaitwa papuchi

Mapaja tutaishia kuona ya Mbuni

Maziwa yenyewe tutaishia kuona kwenye picha kama yale ya samaki mtu (Nguva)

Ushoga utashamiri sana

Sauti nyororo za kudeka zitapotea kabisa..tutabakia kuskilizia kwenye recording na clips za simu

Eeh Mungu usije wapoteza wanawake, hasa wale wazuri wale.


Daah...nna mawazo ya Kijinga na kikolomije saa zingine

 
Amina.

Na kweli wanawake wabaki wasije wakapotea maana sijui tutaenda wapi.

Hahahahahahaa umenifanya nifikirie... Ile unataka kuchoma mkuki kwenye kipochi manyoya unakutana na ukuta... yaani patupu yaani hakuna manyoya wala kipochi cha kuchomeka mkuki wala hakuna hata kinafasi walau kama upana wa bomba la peni ya biki..... ukiwa huamini unachokiona macho na majasho yanakutoka maana mnara hapo uko wima imara kama mnara wa halotel heheheheheheee

Sijui utalia au utaanza kusali huku ukinena kwa lugha kipochi kirudi...... hehehehehee

Missed you Daby.. .
 
Hahaha your presence is my happiness mamy

Missed you too..
 
Bora hilo lako mkuu..
Nitaishije bila Kasie mimi si nitakuwa kama noti bila tarakimu za thamani.. si itakuwa karatasi tu

Oooh jamani..... nimefurahi kusikia hivyo. Umenipa tabasamu la faraja baada ya uchovu wa kazi as siku nzima ya leo...

Nashukuru Dady Daby kutambua thamani yangu, nami nakujali na kukuthamini mno... vile ulivyo nimekupenda. Nikiwa safarini nawe basi moyo wangu unapata burudiko la aina yake, mahaba yako yanafanya tabasamu halikauki usoni mwa Kasie.
 
Huwa siamini kama wanaume wanatudharau halafu sijui ni kwa nini huwa siamini...
Humu mitandaoni naonaga kama wanatupa changamoto ili tuwe strong zaidi, lakini ukiniambia wanatudharau mmmh sina uhakika!!!

Asanteni kwa challenges na kutujali pia
 
Furaha yangu ni yako pia mamy kasie
Remember love slogan
Love it Live it owe it. Haha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…