Mungu ibarik
JF-Expert Member
- Oct 22, 2015
- 3,395
- 11,580
Tuwaenzi kwa vitendo si ndio ehhhhhNa ndiyo maana hatushauriwi kukataa mwanamke yeyote, ni vibaya sana kutomstiri mwanamke.
Hata kama ana mguu mmoja haina kujiuliza, weka tu.
Tunawadharau sana wanawake, lakini Hawa nduo mademu zetu, wachumba zetu, wake zetu, dada zetu, shangazi zetu, mama zetu na bibi zetu.
Je wakitoweka na ulimwengu ukabaki Wanaume watupu tutakuwa wakiwa na wapweke kiasi gani?
Tusingoje wapotee,
Tuwapende na kuwaheshimu sasa
Tukiwazidi akili watatuheshimu tu, by fire by forcemheshimu anaejiheshimu kama hawajiheshimu tutaendelea kutowaheshimu
Kabla hatujapotea wanahaha, tukipotea unadhani hali itakuwaje?Pia vaisi vesa tukipotea wanaume .
Na kweli maana hawa viumbe wanavojishughulisha kwa ajili yetu hadi raha!!!Tunawadharau sana wanawake, lakini Hawa nduo mademu zetu, wachumba zetu, wake zetu, dada zetu, shangazi zetu, mama zetu na bibi zetu.
Je wakitoweka na ulimwengu ukabaki Wanaume watupu tutakuwa wakiwa na wapweke kiasi gani?
Tusingoje wapotee,
Tuwapende na kuwaheshimu sasa
Kumbe mnalijua hilo babuuAmina.
Na kweli wanawake wabaki wasije wakapotea maana sijui tutaenda wapi.
Ukipotea sijui zawadi ndogo ndogo ntamnunulia nani?Kumbe mnalijua hilo babuu
Na baada ya miaka kadhaa unakuwa functionless due to unnatural ways you used to torture your manhood!!! Then what?!WAFARIJI WETU ITAKUWA PUNYETO
maana ndani ya ssekunde 56 ushamaliza na mawazo juu ya wanawake yanakuwa yasshaisha
Saana mjukuu bakin bwana muendelee kutupa vyoteKumbe mnalijua hilo babuu
Nakuja pale pa siku zote Jumanne ya pasaka. Naomba tuonaneNa kweli maana hawa viumbe wanavojishughulisha kwa ajili yetu hadi raha!!!
Eti wanasema kina Kaoge wataziba gapJe wakitoweka na ulimwengu ukabaki Wanaume watupu tutakuwa wakiwa na wapweke kiasi gani?
Tukiwazidi akili watatuheshimu tu, by fire by force
Imagine mtoto mzuri km wewe usiwepo, itakuwaje?asante kwa kuwakumbusha
siku tukitoweka nahisi mtabaki kila mtu busy na simu yake
Amna bana cku hz c mna bashiteana so hata tukipoteana mshapata option...! Kabisaa! Tuhamie hata jupiter nackia panafaa kuishiAmina.
Na kweli wanawake wabaki wasije wakapotea maana sijui tutaenda wapi.