Chief wa kibena
JF-Expert Member
- Mar 13, 2016
- 686
- 394
Leo nimesoma taarifa ktk vyombo ving vya habari, vyama vya wafanyakazi wakimpongeza mh rais JPM kwa kuskia kilio chao cha muda mrefu kuhusu PAYE na sasa inaelekea kufikia 9%. ya mshahara. Nam lazma niseme piah vyama vya wafanyakazi na wafanyakaz kwa ujumla lazima mkiri waz kwamba j.k kafanya kazi kubwa kutoka kuitoa 18% of salary hadi 11% ya sasa inayompa mh rais urahis wa kuitekeleza hyo asilimia 9.
mnyonge mnyogen hak yake mpeni. credit to JPM and more credit to J.k ktk hili.
mnyonge mnyogen hak yake mpeni. credit to JPM and more credit to J.k ktk hili.