Tunauza sun bed / kitanda cha beach cha mbao za plastiki

Tunauza sun bed / kitanda cha beach cha mbao za plastiki

mtataina

Member
Joined
Mar 18, 2025
Posts
13
Reaction score
5
Habari ndugu, tunauza vitanda vya beach pamoja na hotelini, vitanda hivi ni imara na vinadum mana tunatumia mbao za plastiki ambazo haziozi, haziliwi na wadudu, wala mchwa, mbao ni imara sana zinafaa ata sehem zenye majimaji, vitanda hivi ni vzr sana , tunapatikana dar es salaam na zanzibar namba zetu ni 0757671874, email; sales@zanrec.co.tz
WhatsApp Image 2025-01-07 at 11.00.34.jpeg
WhatsApp Image 2025-01-07 at 11.00.34.jpeg
WhatsApp Image 2025-01-07 at 11.00.34.jpeg
 
Shida ya wafanya biashara wa kibongo hawajiamini kipi kinakufanya usiweke bei kwaiyo tukufuate pm au ww ni winga
Asante sana kwa ushauri boss, next post tafanya ivyo, pisi 1 ya sun bed ni 375,000
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom