Nifah
JF-Expert Member
- Feb 12, 2014
- 31,520
- 65,190
Tshs. 5,000/=
Hiki kizurije? Uwiiiiiii.
Haya endelea kushusha vitu.
Tshs. 5,000/=
teh kizur kula na mwenzio nimeviona vizurii mnoo...mwambie akupe ntalipia kwan sh ngapiii
Asante mumy, ni elfu 4/5/6. spade4spade chukua oda hapa unipe vyangu mie.
sasa ndo awe mwaminifu upate mzigo ndo tumpe hela maana biashara za mtandao..smtymz zinakua shidaaa
basi jirani yangu mwambie apandishe tropical tower ghorofa no 7 mpe number yangu nitampa helaMwenyewe yuko hapo Narung'ombe mumy, hawezi kutupa shida.
Ni kumfuata tu.
basi jirani yangu mwambie apandishe tropical tower ghorofa no 7 mpe number yangu nitampa hela
Poa mumy, nitam pm sasa hivi.
Thanks in advance, ubarikiwe.
spade4spade tunaweza kuongea biashara?
unapatikana wapi?
mkuu nahitaji kwa ajili ya biashara,,je kuna discount kidogo kama bei ya jumla?Mtaa wa Narung'ombe, ni pm kama unahitaji mkuu
Mwenyewe yuko hapo Narung'ombe mumy, hawezi kutupa shida.
Ni kumfuata tu.