Weka Bei kwa kiloNawakaribisha kwenye biashara ya samaki tunatuma popote pale kuanzia kg 100. Kwa samaki Aina zote sangara, Sato ama ukitaka fileti. Kwa wale wenye mabucha ya samaki mnakaribishwa
Kwa watu walio serious tu karibu kwa maelezo zaidi. pia
Sent using Jamii Forums mobile app
Salmon unao?
Nadhani anauza samaki wa maji baridi! Salmon wanapatikana maji ya chumvi, kama sijakosea!
Itakuwa m.pesaunatuma kwa njia gani?
Packaging unafanyeje kwenda mikoani?kwayeyote anayetaka kufanya Biashara ya samaki tunamkaribisha sana tunatuma sehemu yoyote ile. Hawa ni kutoka ziwa Victoria mwanza.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unataka samaki wa Aina gani? Samaki hawana bei permanent ukitoa order kwa siku hiyo unapewa bei hii inatokana na upatikanaji wake Kuna kipindi wapo wengi Kuna kipindi wanapungua. Pia inategemea unataka waloganda ama freshKuna mtu nataka kumnunulia yupo Lilongwe Malawi. Kilo 120. Mbona hujataja bei, na kutuma ni bure? Na mnatumia njia gani wasiweze kuharibika?
Sent using Jamii Forums mobile app
Samaki bei zao zinategemea na upatikanaji wake mkuu naweza nikakupa bei ya Leo kesho ikawa haiko hvyo. Nauza kutoka kiwandani hivyo hutegemea na upatikanaji wake ziwaniweka bei.
Samaki wanakuwa frozen then wanakuwa packed kwa box wanasafirishwa kwa magari special kwa samaki tuunatuma kwa njia gani?
Mikoani samaki anagandishwa hasaa kama jiwe tuna pack kwa box Kuna magari kiwandani yanasambaza mikoani. Hilo sio shida kabixa