everythingood
Member
- Feb 20, 2017
- 97
- 39
- Thread starter
- #41
HapanaUna ferari?
Kama wewe ni wa "splay" huu uzi haukuhusu, hizo body spray sijui za buku mbili jero si mahala pake. Huku ni perfumes na bei zake ndo kama hizo. Na namba ya simu ipo hapo, siku nyingine usome vizuri unless kama alieditPure perfume au body splay? Na mko wapi na ata wewe umeshindwa kuweka namba yako au ndio siri kwenu kuna katatizo nakaona
Perfumes za kiume pia zinapatikana wa bei nafuu ya 20,000/=....
![]()
![]()
![]()