everythingood
Member
- Feb 20, 2017
- 97
- 39
- Thread starter
- #21
Manukato hukamilisha muonekano wako..ni muhimu kama ilivyo kuvaa nguo nzur za kupendeza....nunua leo manukato upendayo kwa gharama nafuu...tupigie 0626309195 tukuhudumie..
Za wanaume zimashakuja..kuna ocean,forever,eternal royal,oud sharqia,rooh fazza...Wanaume akuna
Samahan kwa usumbuf uliojitokeza..sasa tunapatkana vizuri..karibuPokeeni simu basi mkuu, mbona mpo kimya tu
Oooh thank you mupenziHebu chagua uipendayo mke wangu mpendwa!
Ahsantee kwa kutuchagua sis ..karibu Sana..naahidi sitokuangusha..Tungetumia Majukwaa kama haya inavyotakiwa,
Tija ya mtandao hakika tungeiona badala ya kuleta mzaha pasipoti mahala pake.
Nimeipenda juhudi yako mleta Uzi na nina nia ya kukuungisha.
Hasa hiyo Ocean brand yako.
Labda tena uniangushe wewe mwenyewe.
Nimekupigia kwa Private namba inayoishia na. . 88
Ukaniahidi kitu, Tekeleza tafadhali.
Hao wanaoleta dhihaka kwenye vitu serious tuwapuuze tu.
Asante.
Sina brands kubwa kubwa sahivi...ila zilizopo ni nzuri pia waweza jaribu moja..karibuUna polo blue