Plot4Sale Tunauza Nyumba, Viwanja na Mashamba. Tupo Dar

Karibuni
Plot iko vizuri sana
Maji✓
Umeme✓
Barabara✓
 
Hicho cha 15 x 15 kikowapi bro au una picha zake
 

Hiki chenye matuta kina ukubwa gani?
 
Habari Wana jukwaa
Nyumba inapangishwa
Location: KITUNDA (kibeberu)
SIFA ZAKE:
✓ Ina vyumba vinne (1self contained)
✓ jiko kubwa lenye kabati, seating room kubwa, dinning room, store.
✓ Ina tiles, alluminium windows, na feni
✓ parking space kubwa
✓ full fenced
✓ maji na umeme

KODI KWA MWEZI NI TSH 250,000/

Mawasiliano: 0785 857564

 
Kwa nini kodi usifanye hata laki 4?

Tamaa sio nzuri, tena naishauri serikali iweke mipaka ya ulipaji kodi kwa wapangishaji, na sio kujipangia kama ambavyo tunajionea kwa wengine. Mtu anajiropokea tu "napangisha kwa laki 4" hiyo nyumba ya mleta uzi nikweli hata laki 3, lakini hakutanguliza tamaa.
 

Ipo vizuri mno mkuu,, hakika utapata wapangaji
 
House for rent

✓3bedrooms (1 self contained)
✓ seating room, kitchen,
✓ public toilet
✓ full tiles, gypsums & alluminium windows

LOCATION: KITUNDA, machimbo.
5 minutes from bus stand
Rent per month: 250,000/
Terms of payment: 4months+




Mawasiliano: 0785 857564
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…