mbongo_halisi
JF-Expert Member
- Apr 16, 2010
- 7,757
- 6,290
Hahaha nyama ya nguruwe inajulikana boss... Nguruwe pori ni weekend tu. Jumamosi na jumapili.
Ntajuaje kama ni ngurue pori....wanakuwa live? Mnapatikana kwa namba hizo ulizo ambatanisha au?
Hahaha nyama ya nguruwe inajulikana boss... Nguruwe pori ni weekend tu. Jumamosi na jumapili.
Ok Karibuni Kama ni za ivi mtapiga pesa. Walaji wapoMwezi ujao tutafika kilimanjaro.. nilitoa taarifa ya mikoa tulipo..
Ndio namba inayooatikana ndio... Nguruwe pori anajulikana nyama yake kabisa kwa machoNtajuaje kama ni ngurue pori....wanakuwa live? Mnapatikana kwa namba hizo ulizo ambatanisha au?
Asante mkuu.
Ndio namba inayooatikana ndio... Nguruwe pori anajulikana nyama yake kabisa kwa macho
KaribuSawa tutatafutana nitoe order zangu.
Ndio maana.. Ndugu dar es salaam kuna changamoto.. Bei zetu ndio hizo. Nmekuelewa sasa.
Ndio maana.. Ndugu dar es salaam kuna changamoto.. Bei zetu ndio hizo. Nmekuelewa sasa.
Sawa mkuuNdio maana.. Ndugu dar es salaam kuna changamoto.. Bei zetu ndio hizo. Nmekuelewa sasa.