Tsn motors
Member
- Dec 23, 2017
- 70
- 160
- Thread starter
-
- #81
Afadhar mkuu em nisaidie ww gari kubwa sio gar ndogo ndio tushazoea km 80,000 ,60000 sasa mm navyomwambia ananiletea makasiriko πMtu anatoa macho kwa 200,000KM kwa gari kubwa?! kweli watu wakizoea tumia gari ndogo ni shida.
inajulikana wazi na haina ubishi Bongo gari toka JAPAN tunaita JIPYAAA sasa mnamshambulia muuzaji kisa kasema gari jipya ni akili au usongo wa mawazo?
Hiyo gari ndio namsaidia kusema ni JIPYA, ana haki kabisa wala hajakosea aliposema hilo gari ni JIPYA ndio ni jipya,nani mbishi?
Fanya biashara yako Boss,hizi watu za JF zinazojifanya magari mapya kwao ni 0KM achana nazo,utapasuka kichwa ukijibizana nao, soma tu comment zao kisha pita na 50 zako.
Ishu ndogo maneno mengi. Wala sijahitaji kujua CV yako. Swali langu lilikuwa dogo tu.... Gari la 1998 lililotembea kilometa laki 2 sio used?π Niko registered brela,nalipa kodi na nina ofisi sawa kiongozi sijaanza biashara jana sawa kijanaπ
Em punguza makasiriko we mtoto wa kiume tafuta pesaπ
Niko kwenye biashara ya magari mwaka wa 8 huu siwez kataa wakati naanza hii biashara nilianza na udalali lkn kwa sasa sio dalali tena nina ofisi naagiza kwa cash na kwa mkopo pia nina stock yangu ambayo ipo apa apa dsm hakuna aja ya kusubiri muda wa Wiki 4-5 gari ifike...
Na kingne sio kila unachoona ni lazima uchangie jifunze kupuuzia mambo kitu kama auna uhitaji nacho nyamaza tu sio lazima u commentπ
Kingine pesa uwa aijifichi kama mtu ana uhitaji bc lazima atanitafuta tu na namshukur Mungu nimetafutwa na watu zaidi ya 4 wote wa humu humu jamii forum.
TAFUTA PESA KIJANA ACHA MAKASIRIKOπ
Sababu mtu na akili zake timamu aliye kwenye industry ya magari awez shangaa gari la 200,000km kwa gari kubwa na za biashara maana hzo gari naagizaga mpaka za 670,000km na mtu ananunua sababu anajua nn anafanya
Jifunze kupuuzia kitu kama ukijui usijilazimishe ku comment kitu ambacho ukijui kusudi uonekane mjanja kumbe hamna unachojua
Note: Punguza makasiriko tafuta pesa
Kwahiyo gari ikitembea kilometa laki 2 sio used? Kumbe kweli wewe ni tapeli. Nilikuwa nakutetea kimakosaMtu anatoa macho kwa 200,000KM kwa gari kubwa?! kweli watu wakizoea tumia gari ndogo ni shida.
inajulikana wazi na haina ubishi Bongo gari toka JAPAN tunaita JIPYAAA sasa mnamshambulia muuzaji kisa kasema gari jipya ni akili au usongo wa mawazo?
Hiyo gari ndio namsaidia kusema ni JIPYA, ana haki kabisa wala hajakosea aliposema hilo gari ni JIPYA ndio ni jipya,nani mbishi?
Fanya biashara yako Boss,hizi watu za JF zinazojifanya magari mapya kwao ni 0KM achana nazo,utapasuka kichwa ukijibizana nao, soma tu comment zao kisha pita na 50 zako.
ππππuna stress za mapenzi au shida nn au ndo bei ya mafuta inakuchanganyaKwahiyo gari ikitembea kilometa laki 2 sio used? Kumbe kweli wewe ni tapeli. Nilikuwa nakutetea kimakosa
nikopeshe hii chuma mkuu ila sina nata mia ya kuanziaMitsubish Fuso || Fighter Fk
Year 1998
Flat body
4000kg
206,000kilometre
Drives 4x2
Leaf Suspension
Cabin width Standard
Cabin type Long
6MT Popular
Fuel Diesel
Engine model 6D16
Bei kamili ni 86,930,010Million pekee bei hii ni pamoja na usajiri
β‘οΈMkopo lipa 50,000,000Million nyingne ulipe kidogo kidgo ndani ya miez 12
Call/whatsapp
0769177042
View attachment 2219922
View attachment 2219923
View attachment 2219924
View attachment 2219925
View attachment 2219926
View attachment 2219927
View attachment 2219928
View attachment 2219929
View attachment 2219930
Acha kuibia wajinga wewe. Utaenda motoniππππuna stress za mapenzi au shida nn au ndo bei ya mafuta inakuchanganya
Ipo good hii chumaMitsubish Fuso || Fighter Fk
Year 1998
Flat body
4000kg
206,000kilometre
Drives 4x2
Leaf Suspension
Cabin width Standard
Cabin type Long
6MT Popular
Fuel Diesel
Engine model 6D16
Bei kamili ni 86,930,010Million pekee bei hii ni pamoja na usajiri
β‘οΈMkopo lipa 50,000,000Million nyingne ulipe kidogo kidgo ndani ya miez 12
Call/whatsapp
0769177042
View attachment 2219922
View attachment 2219923
View attachment 2219924
View attachment 2219925
View attachment 2219926
View attachment 2219927
View attachment 2219928
View attachment 2219929
View attachment 2219930
Sana mkuuIpo good hii chuma
Mzee,Nipigie mkuu tu maana nishajielezea pitia post za juu utaona kama una uhitaji bc n lzm utanipigia
Sihitaji kutetewa na wewe, kuna siku au mahali nilikutumia kadi ya mwaliko uniteteeeKwahiyo gari ikitembea kilometa laki 2 sio used? Kumbe kweli wewe ni tapeli. Nilikuwa nakutetea kimakosa
Acha uhaya wa kishamba we sister duu,bichwa kubwa akili kisodaIshu ndogo maneno mengi. Wala sijahitaji kujua CV yako. Swali langu lilikuwa dogo tu.... Gari la 1998 lililotembea kilometa laki 2 sio used?
CV yako wape wajinga ambao hawajui namna ya kuagiza magari used wakidanganywa ni mapya.
Sasa jibu swali Acha mbwembwe
πππππLbd ana stress mwenzetu tusimlaumu sana ila mwenye akili anaelewa nn tunazungumzaAcha uhaya wa kishamba we sister duu,bichwa kubwa akili kisoda
usichoelewa hapo ni kipi gari used JAPAN bongo ni mang'anyuu yani jipya?
Unajitia kukaza fuvu tu,ungekua around watu ka nyie mafuvu yenu tunachemshiaga supu
halafu tunamwaga chooni maana hata mmea haufai kupata mbolea ya fuvu lako,mnyama yeyote hafai nyweshwa supu itokanayo na mwili wako anaeza Paralyze.
Acha kuleta Uhaya wako wa kishamba,unajua agiza gari kwanini usilifate JAPAN ukaja nalo?...
Mwenye mbwembwe ni wewe mshamba mmoja hivi,Bchwa kontena akili kret...
Huyo hajui kitu lakini anajifanya anajua hiyo fuso bei kubwa sanaGari imetengenezwa mwaka 1998, imetembea 200K kilometers.... sio used?
Wewe ndio hujui watu hizo km zinaongezwa au kupunguzwa alafu unajifanya unajua biashara ya Magari wewe wa ajabu kweli kweli weweKwa io unategemea unaweza pata fuso ya 50,000km[emoji23][emoji23][emoji23] c ndio?? ushawai kuagza gari kubwa lakin nisijekuwa nabishana na mtu amby aelewi chochote
Umemjibu vizuri sanaHoja yangu ni wewe kubisha kuwa hilo gari sio used wakati limeshatembea kilometa zaidi ya laki 2.
Mambo ya bei sijagusia...
Na kama nimeshaagiza magari makubwa hilo halikuhusu
Na bei kubwa ameweka bei ya Scania usedCha msingi hio Fuso Ni used,story mingi hazisaidii.
[emoji28] Niko registered brela,nalipa kodi na nina ofisi sawa kiongozi sijaanza biashara jana sawa kijana[emoji3]
Em punguza makasiriko we mtoto wa kiume tafuta pesa[emoji28]
Niko kwenye biashara ya magari mwaka wa 8 huu siwez kataa wakati naanza hii biashara nilianza na udalali lkn kwa sasa sio dalali tena nina ofisi naagiza kwa cash na kwa mkopo pia nina stock yangu ambayo ipo apa apa dsm hakuna aja ya kusubiri muda wa Wiki 4-5 gari ifike...
Na kingne sio kila unachoona ni lazima uchangie jifunze kupuuzia mambo kitu kama auna uhitaji nacho nyamaza tu sio lazima u comment[emoji1]
Kingine pesa uwa aijifichi kama mtu ana uhitaji bc lazima atanitafuta tu na namshukur Mungu nimetafutwa na watu zaidi ya 4 wote wa humu humu jamii forum.
TAFUTA PESA KIJANA ACHA MAKASIRIKO[emoji28]
Sababu mtu na akili zake timamu aliye kwenye industry ya magari awez shangaa gari la 200,000km kwa gari kubwa na za biashara maana hzo gari naagizaga mpaka za 670,000km na mtu ananunua sababu anajua nn anafanya
Jifunze kupuuzia kitu kama ukijui usijilazimishe ku comment kitu ambacho ukijui kusudi uonekane mjanja kumbe hamna unachojua
Note: Punguza makasiriko tafuta pesa
Umekosea sana hapa!!.. Vyovyote ilivyo jamaa kaongea ukweli kabisa sasa wewe ungekua kweli unafanya biashara hii Kwa muda mrefu usingekuja hapa kubishana na kushambulia!!..Sasa hivi kila mtu anajua kuagiza magari Rafiki hizo bei ulizo weka ni za madalali hawajui bei zikoje na hawa miliki Magari!!!..[emoji28] Niko registered brela,nalipa kodi na nina ofisi sawa kiongozi sijaanza biashara jana sawa kijana[emoji3]