Tsn motors
Member
- Dec 23, 2017
- 70
- 160
- Thread starter
-
- #41
RACTICSNaomba maelezo ya Toyota ractis kwa kutanguliza (kulipia) 35% na marejesho kwa miaka miwili na pia mwaka mmoja yani nitangulize 50%
Una picha yoyote naweza kuona?18,500,000Million boss
Unashangaa au unauliza Mkuu.Fuso milioni 80 dah ?
230Million
Hela nyingi sana hiyo. Ni bora ukanunua Scania Mende kwa 70m.Fuso milioni 80 dah ?
Mende ya 70M unaipata wapi mkuu?Hela nyingi sana hiyo. Ni bora ukanunua Scania Mende kwa 70m.
Aelewi anachoongea😂
Scania sio coaster kaka kumbuka iloHela nyingi sana hiyo. Ni bora ukanunua Scania Mende kwa 70m.
Zipo nyingi tu Kitaa Mkuu!
Io gari nani aliokwambia used?? or ujasoma vzr maelezoSasa ndio Fuso used iwe 80m?
Gari imetengenezwa mwaka 1998, imetembea 200K kilometers.... sio used?Io gari nani aliokwambia used?? or ujasoma vzr maelezo
mwenyewe nimetowa macho mpk ya nyumaGari imetengenezwa mwaka 1998, imetembea 200K kilometers.... sio used?
Hizo ngoma zilikuwa zinauzwa 68million zilikuw zipo kigoma zilitoka maliza mradi wiki tatu zilizopita zilikuwa 6
Nashukuru kwa kumuelewesha Mkuu!Hizo ngoma zilikuwa zinauzwa 68million zilikuw zipo kigoma zilitoka maliza mradi wiki tatu zilizopita zilikuwa 6View attachment 2220376
Kwa io unategemea unaweza pata fuso ya 50,000km😂😂😂 c ndio?? ushawai kuagza gari kubwa lakin nisijekuwa nabishana na mtu amby aelewi chochoteGari imetengenezwa mwaka 1998, imetembea 200K kilometers.... sio used?