Car4Sale Tunauza na kukopesha magari

Habari hermanj820 ,

Ahsante kwa taarifa, kabla ya kwenda mbele zaidi, naomba kujua haya!

Sababu kwaajili ya afya ya BIASHARA , kuna mambo ulipaswa kuyaweka wazi sana ili kuondoa "sintofahamu" ama wasiwasi.

1. JINA

Nilitegemea , ungeanza na utambulisho wakututajia kampuni yenu inatwaje, imesajiliwa na kuanza kazi lini n.k

Profile yako ya hapa Jamii forums, ilipaswa kuwa na jina la kampuni yako/yenu tena pamoja na bluetick!


2. PICHA

Picha za/ya ofisi yenu na stock ambazo zipo ofisini kwenu tayari. Maana hapa tunachoona, ni stock units ambazo zipo Enhance autos JAPAN, n.k Hatujaona ambazo umetuaminisha kwamba zipo ofisini kwenu.

3. ANUANI

umeeleza tu kwamba, ofisi iko mikocheni na magomeni usalama, lakini haujatuelezea kwa kina / vizuri kwasababu maeneo uliyoyataja ni mapana / makubwa.

haujataja specific eneo ambalo ofisi zenu zilipo, ikiwa na maana , jengo mlilopo, floor ya ngapi, chumba number etc.


Naomba utusaidie ufafanuzi katika haya machache kwanza , kisha ndipo tuendelee mbele!


NOTE :

SISEMI KWA NIA MBAYA, ILA NI KWA NIA NJEMA KABISA.
 
Mkuu vanguard sa hz n 2009 bei 6324 Cif cha kwanza icho

Pili ushuru uko juu nadhan unajua ulivo

Cif 6324 ukipiga kwa usd ya sasa 2330
14,734,920

Ushuru vanguard 2009 ni 15,312,916

Total inakuja 30,047,836

Apo bado clearing 1,200,000Million

Jumla 31,247,836Million apo ni umeagiza mwenyewe kwa cash yako

Tuchukulie 2012
CIF MPK TZ N 17,409,760Million

Ushuru ni 19,585,720

Total 36,995,480Million

Weka clearing + Faida ya ofisi bei gan




 
Interest yenu ni nafuu sana aisee.
 
Naomba maelezo ya Toyota ractis kwa kutanguliza (kulipia) 35% na marejesho kwa miaka miwili na pia mwaka mmoja yani nitangulize 50%
 
Reactions: JGH
Pro box succeed mnakopesha kwa tsh ngapi?
 
Nafikiri hizi details ungeziweka juu kabisa, mana wenginewavivu wa kusoma comment.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…