Tsn motors
Member
- Dec 23, 2017
- 70
- 160
Kujiongeza muhimu katika biashara mkuu maana kuna mteja anakuja ana pesa yote iili kumrahisishia inabidi alipe 50% na 50% inayobaki analipa kidogo kidgo ndani ya miez 12 tu uku akiendelea kufurahia gari lakeWatu wanajiongeza safi sana.
Oooh!! Sawa mkuuNi jambo zuri ila Weka details kamili mkuu huenda ukapata watu wa kukuconect na mteja ikiwa huduma yako si ya kuumiza.
Baadhi ya taarifa zinazoweza kuwa na msaada:
Interest ni kiasi gani? Gharama za tracking device zinakuwa za mteja au za kwenu?
Kuna limit ya distance au gari linaweza kutumika popote nchini?
Mikataba yenu ipo certified na wakala wa kumlinda mteja katika mikataba?
Na mambo mengine unaweza kuongeza yenye msaada kwetu wateja.
Tunashukuru sana. Sababu ni biashara, Tunaomba uweke na namba ya ofisi public mtu akutafute wakati anapoona unafaa maana wengine wanapendelea kubaki kuwa watu wasiojulikana humu JF sasa akikutext akakuomba namba akija kuwasiliana na wewe au akiagiza mtu awasiliane na wewe ni rahisi kumtambua.Oooh!! Sawa mkuu
Interest n 3% pekee sio kubwa wala na aimuumizi mteja kwa hali yyt ile naamin ilo.
Gharama za tracking device tunapokupa bei inakuwa imepigiwa umo umo ila kawaida bei yake ni 250,000Tsh pekee na gharama ya kila mwezi n 3,000pekee ivo kwa miez 12 utalipia 36,000Tsh ya track
Gharama ya bima kubwa pia tumeijumuisha kwenye bei kwa kila gari.
Gari inatumika mkoa wowote isitoke tu nje ya Tanzania.
Mikataba yetu ni ya uhakika na ya usalama zaidi huku tukizingatia hatua zote za kisheria.
Pia kwa yoyote anayetaka kuwa anaona mzigo/stock mpya ya magari anaweza kuni dm akanitumia whatsapp number yake🙏🏽
Call/whatsappTunashukuru sana. Sababu ni biashara, Tunaomba uweke na namba ya ofisi public mtu akutafute wakati anapoona unafaa maana wengine wanapendelea kubaki kuwa watu wasiojulikana humu JF sasa akikutext akakuomba namba akija kuwasiliana na wewe au akiagiza mtu awasiliane na wewe ni rahisi kumtambua
Gharama za tracking device tunapokupa bei inakuwa imepigiwa umo umo ila kawaida bei yake ni 250,000Tsh pekee na gharama ya kila mwezi n 3,000pekee ivo kwa miez 12 utalipia 36,000Tsh ya track
Sasa mkuu unategemea track ufungiwe na gharama tuwe tunakulipia mwisho wa mwezi?? Kwel na mtu uwez iba sababu hii gari upewi tu kwa njia za chochoroni unapokimbia apo ina maana ww umejiingiza kwny shida pia na familia yako umeiingiza kwny shida maana mpaka nyumbani tutapafahamu.. Statement za bank , unajishugulisha na nn brother hii n hela kila kitu kina utaratibuSasa tracking ni kwa ajili yenu nyinyi ikiwa mteja atachochora na gari.
Kwanini mnaingiza hizo gharama kwa mteja?.
Biashara yenu bado ina loopholes mkikutana na watu waliobobea kwenye wizi wanaondoka na gari na hamtakaa muwaone popote.
Mfano io Toyota wish new model bei yake cash n 19MillionHii imekaa njema hebu kwa faida ya sisi wengine...hebu weka gari 1 dogo...weka na bei weka na bei ya mkopo...na riba zake
Gari za kazi ni Coaster ,fuso etc gari zote za biashara mkuuGari za kazi hujaweka ni zipi,Mabasi au magari ya mzigo. Na ni brand zipi utakazoleta
Hapana zenyewe tunanunua tunauzaHizo gari used mnazonunua nazo mnaweka kwenye mpango huu?
ok, kwahiyo hizi ni, mteja mnaagiza nae kutoka nagoya pale JapanHapana zenyewe tunanunua tunauza
Gari zipo showroom kwetu ila akitaka za kuagiza utaratibu unabadilika..ok, kwahiyo hizi ni, mteja mnaagiza nae kutoka nagoya pale Japan
Io hatuna mkuuMimi nataka Bito
Hebu weka gharama za coasterGari za kazi ni Coaster ,fuso etc gari zote za biashara mkuu