isajorsergio
Platinum Member
- Apr 22, 2018
- 4,152
- 6,601
Samahani! Nieleweshe kuhusu cost, size na mengine.
Huwezi kujua haya mambo ya jikoni babeMnh! My angel! Ina maana umeanza kutumia makaa ya mawe hadi mafuta ya taa yagonge mwamba; au?
Mkeo hajambo??Hiyo ndo mifuko lakini sio zile condoms! Yaani inanikera ile "mifuko", hadi basi!
Ok OKCondom tena
Ok nakuona[emoji3][emoji3] mafuta ya taa pekee hayatoshi mpenzi
Sawa Sawa endelea tuuHuwezi kujua haya mambo ya jikoni babe
BabeSawa Sawa endelea tuu
Nmesikitika Sana but anyway najua ww ni mtu mzima na unamaamuzi yakoBabe
Jamani...naomba tuhame hapa kwanzaNmesikitika Sana but anyway najua ww ni mtu mzima na unamaamuzi yako
Upo free kufanya kile kinacho upoza moyo wako
Kitu nlicho ambiwa na wazaz mwanamke akikukataa usimlazimishe akupende
Nafikir unajua ni kias gan nakupenda Ndiyo maana umenifanyia hivo OK Sawa
Nlikuamin Sana sina jinsi zaidi ya kuugulia maumivu
Nenda mama Nenda tuu sina Namna tena kwako