sir. Mwasongwe
Senior Member
- May 30, 2015
- 106
- 76
Habari za Kazi wakuu. Kwa wale wenye uhitaji Mkubwa wa mifuko wa karatasi ambayo unaweza wekea chipsi, samaki kavu au kaange, vitu vya dukani, Nguo kwa wenye maduka ya nguo, viatu, nk na wanaweza kuwapa vijana material ya kutengeneza kisha unawalipa kwa maelewano mtakayoona yanafaa unaweza weka mkataba ili kuondoa usumbufu mkataba unawekwa chini ya sido hapo vingunguti! Kila siku unaondoka Na mifuko ambayo unataka kulingana Na makubaliano yenu. Na size uitakayo wewe
Hii imetokana na vijana kukosa ajira lakini wanaujuzi wa kutengeneza mifuko hiyo.
Kwa anayehitaji anaweza wasiliana kwa 0758978644
Hii imetokana na vijana kukosa ajira lakini wanaujuzi wa kutengeneza mifuko hiyo.
Kwa anayehitaji anaweza wasiliana kwa 0758978644