de pedezyee
Senior Member
- Jun 21, 2015
- 105
- 109
ShukraniSafi na hongereni..na shida na miche ya korosho na takajua ni pesa ngapi/mche na hekari moja ina meza miche mingapi kama ni mtaalamu wa iyo mambo.
Sent from my GT-I9082 using JamiiForums mobile app
Kitalu kipo ifakara ila kwa gharama hzo ni pamoja na kukufikishia eneo jirani na ww. Nikimaanisha kwa wakazi wa dar tunaifikisha ubungo, Pwani na morogoro tunaangalia maeneo jiran na ulipo,..hii ni nzuri sana japo ungesema ni morogoro ipi hicho kitalu cha miche yako kilipo, kama ni mafiga, kihonda, Liti, magadu, bigwa, mazimbu.......angalau kumpa upeo mpigaji wa simu yako, ili kukadria gharama za kuifuata. Ni hayo tu. Mi nahitaji sana japo vipi miti aina ya pomelo na madalance pia na quashnut je mnayo hapo?
Sent from my GT-N7100 using JamiiForums mobile app
Asante sana mkuu nitakutafuta Whatsapp. Ninahitaji minazi na miembe.Tunauza na kusambaza miche ya miti ya mbao ( mitiki), kwa mikoa ya dar es salaam Pwani na Morogoro,
Bei Tsh. 300 kwa mche
Pia tunauza miche ya miti ya matunda kama vile miembe michungwa, miparachichi ...
Kwa gharama ya Tsh 1000 kwa mche,
Tunafanya cross breeding ya miche ya miche ya matunda ambapo inawezesha miti kuanza kutoa matunda kuanzia miaka mitatu (3).
Kwa gharama ya Tsh 1500 kwa mche.
Tunauza miche ya minazi ipo ya aina 2, east African tall inaanza kutoa nazi kuanzia miaka 7 life span yake ni miaka 100, na mbegu fupi inaanza kutoa nazi kuanzia miaka 3 life span yake ni miaka 45, gharama ni Tsh 5000 kwa mche,..
Kama unahitaji miche ya aina tofauti wasiliana nasi tutaiandaa kwa ajili yako
Vilevile tunatoa ushauri wa miti unayoweza kupanda kwenye shamba lako ambayo itaweza kustahimili eneo husika na kukua kwa muda mfupi kulingana na aina ya udongo na mahitaji ya mti husika.
NB: Gharama zitapungua kulingana na idadi ya miche unayohitaji, ofisi zetu zipo Morogoro..
Malipo ni baada ya kupatiwa huduma karibuni sana
Contacts.
Call 0766006128
Watsap tu 0683433440
Karibu sanaAsante sana mkuu nitakutafuta Whatsapp. Ninahitaji minazi na miembe.
Post sent using JamiiForums mobile app
Bei ni Tsh. 1000 kwa mche mkuuNikitaka miche ya "Penshen" mnafanya bei gani kwa mche??
Karibu sanaasante kwa taarifa nzuri nitakutafuta