Tunauza maziwa ya ng'ombe

Tunauza maziwa ya ng'ombe

Hansal Depot

Member
Joined
Sep 5, 2018
Posts
8
Reaction score
5
TUNAUZA NA KUSAMBAZA MAZIWA DAR ES SALAAM.
  1. MAZIWA FRESH TSH 9,900/= (Kwa lita 5)
  2. MAZIWA MTINDI TSH 11,900/= (Kwa lita 5)
KUTOA ODA,PIGA 0715052712 (Masaa 24)
TUNALETA BURE ULIPO (Vigezo kuzingatiwa)
TUNAPATIKANA MWENGE (Mtaa wa Kipepeo-DSM),KARIBUNI SANA.
 
Attachments

  • NEWADDMLK.jpg
    NEWADDMLK.jpg
    185.4 KB · Views: 69
na kuhusu hayo ya mtindi ni yale yana kuwa machachu au kama yoghurt? maana kuna aina mbili kuna yale ya kiasili yana kuwa na uchachu na mengine ni haya ambayo yanakuwa ya kawaida hayana uchachu ni kama yoghurt isiyo na flavor. nakusikiliza.
 
Hello ndugu mteja......
Kuna aina tatu za mtindi
  1. Traditional buttermilk (made by settling unpasteurized milk)
  2. Cultured buttermilk (made by adding lactic acid bacteria to pasteurized milk)
  3. Acidified buttermilk (made by food grade acid such as lemon acid)
Maziwa yetu ni kundi la pili.Maziwa hayana uchachu.ILA jinsi yanavyokaa kwa muda ukali huongezeka kutokana na shuhuli za bakteria wanaotumika kuzalisha mtindi kuongezeka.Pia maziwa yanapokaa nje na jokofu hufanya kuwa machachu kwakuwa room temperature huongeza kasi ya uzalishwaji wa bakteria wanaochachusha maziwa.
 
TUNAUZA NA KUSAMBAZA MAZIWA DAR ES SALAAM.
  1. MAZIWA FRESH TSH 9,900/= (Kwa lita 5)
  2. MAZIWA MTINDI TSH 11,900/= (Kwa lita 5)
KUTOA ODA,PIGA 0715052712 (Masaa 24)
TUNALETA BURE ULIPO (Vigezo kuzingatiwa)
TUNAPATIKANA MWENGE (Mtaa wa Kipepeo-DSM),KARIBUNI SANA.
mkuu mimi nahitaji hao ngombe wa maziwa nina bajeti ya 1.8 M awe ana mimba
 
Mkuu hayo maziwa hamuongezi maji hata kidogo? maana tushazoea yenye maji na sehemu nyingine fresh wanaongeza maji halafu na mafuta kidgo. ninyi hamfanyi hivyo? au mnafanya kiasi si sana?

Habari ndugu mteja...
MAZIWA yetu ni halisi kabisa hatuongezi chochote (No additives ,No water adulteration ) na pia kama ikatokea tatizo ambalo kimsingi litakuwa limesababishwa na upande wetu basi tunapokea returns na mteja atafidiwa mara moja.

HATUA JINSI MAZIWA YANAVYOPATIKANA MPAKA KUMFIKIA MTEJA.
  1. Maziwa hukamuliwa asubuhi na jioni kila siku
  2. Maziwa huchujwa tu mara baada yakukamuliwa
  3. Maziwa hupimwa uzito (milk density) kwakutumia lactometer
  4. Maziwa hupakiwa kwenye galoni safi mpya.
  5. Maziwa yanapelekwa kuhifadhiwa kwenye jokofu tayari kwa usambazaji.
  6. Maziwa husambazwa kwa oda na mteja hulipa pale tu anapopokea maziwa (Cash on delivery)
Hivyo ndivyo maziwa mabichi (Fresh raw milk) yanavyopatikana.Kutumia maziwa haya yampasa mteja kuyachemsha kwanza.
IKUMBUKWE....FRESH RAW MILK IS THE MOST ''NUTRITIOUS MILK'' COMPARED TO OTHER TYPES OF MILK.

''GO LOCAL....GO RAW....GET HEALTHIER''
 
Habari ndugu Mob....ombi lako limefika,tutalifanyia kazi na utapata mrejesho karibuni na kama kuna maelekezo mengine tafadhali wasiliana nasi kupitia inbox. Ahsante
mkuu mimi nahitaji hao ngombe wa maziwa nina bajeti ya 1.8 M awe ana mimba
 
safi.. sasa tuongee kitaalamu nashukuru umekuja kujibu. unaweza elezea kidogo hizo aina na faida zake? mi napenda yale yasiyo machachu. na je yanaweza saidia kunenepesha kwa mtu anayetaka kunenepa yapi yanamfaa...?
Hello ndugu mteja......
Kuna aina tatu za mtindi
  1. Traditional buttermilk (made by settling unpasteurized milk)
  2. Cultured buttermilk (made by adding lactic acid bacteria to pasteurized milk)
  3. Acidified buttermilk (made by food grade acid such as lemon acid)
Maziwa yetu ni kundi la pili.Maziwa hayana uchachu.ILA jinsi yanavyokaa kwa muda ukali huongezeka kutokana na shuhuli za bakteria wanaotumika kuzalisha mtindi kuongezeka.Pia maziwa yanapokaa nje na jokofu hufanya kuwa machachu kwakuwa room temperature huongeza kasi ya uzalishwaji wa bakteria wanaochachusha maziwa.
 
sitakaa kuja nunua izi mambo, uchakachuzi umekua mwingi siku izi, kuongeza maji na kuongeza soya kwenye maziwa,
 
Ukitaka kujua kama maziwa yameongezwa maji au lah unafanyaje?
Ni rahisi mno ndugu....kujua maziwa yamechakachuliwa na maji (milk adulteration) kwa ngazi yanyumbani chapchap, kuna njia kuu mbili ambazo ni:
  1. Lactometer test-involves using a special instrument called lactometer to find out the amount of water in the milk (kifaa hiki kinapatikana kwenye duka za pembejeo),utaelekezwa namna kusoma readings zake, njia hii hutumika sana na vyama vya wafugaji wakati wa ukaguzi wa ubora wa maziwa kutoka kwa wafugaji.
  2. Trail test-involves running milk on top of clean slanted surface such as mirror to detect if the milk leaves trail.if it does,then its adultered.Hii ndio njia rahisi sana kwa mtu yoyote na haina gharama.CHUKUA Kioo chochote dondoshea matone ya maziwa halafu inamisha kidogo kioo kuruhusu mtiririko..maziwa yaliyowekwa maji yataacha alama ya mtiririko.
ANGALIZO; Maziwa yaliyowekwa maji hayana madhara kiafya ila hupunguza ubora wa maziwa. In most cases ...maji huwekwa na watoa huduma au wafugaji wasio waaminifu kwania yakuwaibia wateja na kupata faida maradufu.Epuka kununua maziwa yanayotembezwa mitaani au sehemu unazotilia shaka.
****KUPATA MAZIWA YETU AMBAYO HAYAJACHAKACHULIWA...TOA ODA KUPITIA 0715052712***
 
sitakaa kuja nunua izi mambo, uchakachuzi umekua mwingi siku izi, kuongeza maji na kuongeza soya kwenye maziwa,
Usikate tamaa ndugu mteja mtarajiwa...Hansal Deepot mkombozi wako...jaribu maziwa yetu muda wowote na utajionea utofauti ni halisi 100% na hayajazimuliwa na chochote.
 
safi.. sasa tuongee kitaalamu nashukuru umekuja kujibu. unaweza elezea kidogo hizo aina na faida zake? mi napenda yale yasiyo machachu. na je yanaweza saidia kunenepesha kwa mtu anayetaka kunenepa yapi yanamfaa...?
Faida za kunywa maziwa zipo wazi tu ndugu na pia kuhusu yapi yananenepesha zaidi ya mengine utafiti huo bado haujafanyika.ILA kati ya yale makundi matatu kundi la pili lipo salama zaidi (cultured buttermilk),sababu maziwa huchemshwa kwanza kabla ya hatua ya ugandishwaji ukilinganisha mtindi wakienyeji ambao hauchemshwi kabla haujagandishwa.Kundi la tatu ni kama quick version ya cultured buttermilk hutumika katika mapishi sanasana.
 
Habari ndugu mteja...
MAZIWA yetu ni halisi kabisa hatuongezi chochote (No additives ,No water adulteration ) na pia kama ikatokea tatizo ambalo kimsingi litakuwa limesababishwa na upande wetu basi tunapokea returns na mteja atafidiwa mara moja.

HATUA JINSI MAZIWA YANAVYOPATIKANA MPAKA KUMFIKIA MTEJA.
  1. Maziwa hukamuliwa asubuhi na jioni kila siku
  2. Maziwa huchujwa tu mara baada yakukamuliwa
  3. Maziwa hupimwa uzito (milk density) kwakutumia lactometer
  4. Maziwa hupakiwa kwenye galoni safi mpya.
  5. Maziwa yanapelekwa kuhifadhiwa kwenye jokofu tayari kwa usambazaji.
  6. Maziwa husambazwa kwa oda na mteja hulipa pale tu anapopokea maziwa (Cash on delivery)
Hivyo ndivyo maziwa mabichi (Fresh raw milk) yanavyopatikana.Kutumia maziwa haya yampasa mteja kuyachemsha kwanza.
IKUMBUKWE....FRESH RAW MILK IS THE MOST ''NUTRITIOUS MILK'' COMPARED TO OTHER TYPES OF MILK.

''GO LOCAL....GO RAW....GET HEALTHIER''
Napenda mtindo wako,biashara ya kawaida lakini umeipamba na kuiboresha.kila la kheri natamani siku1 ulete mrejesho hapa mimi nafanya "tafiti'
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom