Tunauza mayai ya kisasa na kienyeji

Tunauza mayai ya kisasa na kienyeji

Joined
Jul 21, 2014
Posts
10
Reaction score
0
Karibu kampuni ya LIVING EGGS COMPANY LIMITED
Tukuhudumie .

Tupo MOROGORO,


=> •KIHONDA _ MTAA MANYUKI na Mazimbu Road,

=> •GAIRO _ MTAA MAGOWEKO na Sheli ya Shabiby.



TUNATOA HUDUMA ZIFUATAZO
• Kuuza mayai ya kuku wa Kisasa & Kienyeji.
Jumla na rejareja .
• Tunapokea orders Ukiwa na SHEREHE,MAHAFARI,MIKUTANO n.k.
• HOTELS,RESTAURANTS,SHOPS wanaingizwa ktk mfumo wa prepaid kila baada ya week au mwezi ndiyo malipo yafanyike .

Prepaid kwa wafanyakazi waajiliwa na watu binafsi pia ipo .
Hii ni kwa wateja wa Morogoro mjini,Mvomero,Gairo na Kibaigwa kwa kuzingatia vigezo .


NB:
Huduma ya HOME DELIVERY BURE bila malipo ya usafiri hadi kwako.

Hii ni kwa wateja wa Morogoro mjini,Mvomero na Gairo.
Njia za malipo ni;
1. Cash
2. Tigo pesa
3. NMB Bank

KARIBUNI SANA.

Call 0718950950 / 0739950950 / 0719000003


leco_image.png
 
Back
Top Bottom