Ndo maana ulikua unasema waje piemu; hiyo ndo bei ndogo? Unataka kuwaibia watu, ila sawa ndo biashara. Hiyo ndo bei yenyewe tena upo juu zaid ya market price jana tu nmechukua kwa 75k185/70R14 bei ni 85000
195/70R14 bei ni 90000
karibu
Umeambiwa weka size ya kila tairi na bei yakeuliza unataka tairi la bei gan?
ubora tofauti mkuu,hata ukitaka tairi ya elfu 20 unapata kulingana na ubora wa tairi husika.Ndo maana ulikua unasema waje piemu; hiyo ndo bei ndogo? Unataka kuwaibia watu, ila sawa ndo biashara. Hiyo ndo bei yenyewe tena upo juu zaid ya market price jana tu nmechukua kwa 75k
Sent using Jamii Forums mobile app
Haya tarehe uliyosema ndiyo leo je hizi tairi zimefika?mzigo huo umetuishia boss,ila by 10th of september utakua tayari ushafika godown,tunapatikana mikocheni nyuma ya nyumba za mawaziri.
196/70/14 ni bei gani?plshizo hatuna kwa sasa
tulizonazo ni 185/70R14 na 195/70R14
Nilikuuliza hz tairi mnauzaje?P215/75R15 bei gani na mko wapi
mkuu muna 215/55r17 au 215/60r17hello jf!
kampuni yetu inaitwa Hieview international co Ltd,tuko mikocheni nyuma ya nyumba za mawaziri,tunauza matairi mapya ya magari kwa bei ya jumla,matairi yetu yanaitwa roadcruza kutoka China,kwa sasa tuna matairi ya magari madogo yani size 13,14,15 na 16;ila kuanzia week ijayo tutakua na size zote.
matairi yetu yana ubora unaokubalika kimataifa na yanapatikana kwa bei poa kabisa.
kwa mawasiliano zaidi tupigie through 0685561688.
asanteni