Ndio.. nakutumia tu bila shida.Naipenda je kwa arusha nawez kuipata
BrilliantKwa wale wafanya biashara wadogo ya kuuza unga wa sembe, unga wa lishe, kufunga mchele n.k. kuna mashine hapa kwa ajili ya kurahisisha biashara yako.
Mashine (combined mill machine) ina uwezo wa kukoboa na kusaga nafaka, mashine hiyo hiyo inakoboa mpunga pia.
Uwezo kazi ni hadi zaidi ya tani 2 kwa siku.
Power 3HP single phase electric motor
Umeme wa kawaika tu wa nyumbani
Bei million 2 tu unapata na motor kila kitu tayari kwa kazi.
Kwa wateja wa Dar utaletewa mashine ulipo bila gharama ya nyongeza na utaunganishiwa pia. Kwa mkoani usafiri ni gharama yako ndogo tu.
Warranty ya mwaka mmoja.
Mawasiliano: 0626751473.
Follow us on insta @nkuli_agrostoretz
Mbezi Luis, Dar es salaam.View attachment 1923106View attachment 1923116
Engine yake iyo 15 HP nayo bei gani kwa sasa?Salam..
Nauza mashine ya kukoboa mpunga model SB 10D yenye uwezo wa kukoboa kilo 700 had 900 kwa saa.
Power yake ni 15HP
Mpya kwenye box lake
Bei kuanzia million 2.7 maongezi yapo
Contact; +255626751473
Instagram @nkuli_agrostoretz
Mbezi Luis karibu na stend mpya ya mabasi ya mkoani
Karibu sana
3 to 5HP single phase ina rotory swtich au unaweza tumia disel engine ya 7.5HP.Ni horse power ngapi
Changamoto zitapatikana kwa mtumiaji kutofata matumizi sahihi ya mashine kama ilivoanishwa kwenye kitabu cha jinsi ya kutumia, mfanoEmbu tuambie pia kuhusu changamoto zake, ili mjasiriamali pia ajipange?
Binafsi nimevutiwa nayo.
Umesema ni ya kukoboa mpunga na mahindi, je inasaga pia unga au yenyewe ni kukoboa tu?Wahi ofa inayoisha mwisho wa mwezi huu
Pata mashine hii portable yenye uwezo wa kusaga na kukoboa mahindi na mpunga pia kilo 250 kwa saa kwa bei ya Tsh 1,800,000/= ikiwa complete na mota yake badala bei halisi ya 2,200,000/=
Umeme inatumia single phase wa nyumbani tu
Spea zote muhimu zinapatikana pia
Ufundi wa kukufungia kwa wakazi wa dar itakua bure
Piga au whatsup 0626751473
Mbezi luis barabara ya makabe
Dar es salaam
Au follow @nkuli_agrostoretz kwenye insta na facebook kwa maelezo zaidiView attachment 2390722View attachment 2390723View attachment 2390725View attachment 2390727
Mbezi Luis Dar es salaamMnapatikana wapi km nikihitaji iwe rahic kuwa trace napenda inoviation ya technolojia mpya hasa vijijini inafaa sana
Ina vinu viwili.. 2 in 1.. kinu cha kusaga na kinu cha kukoboa.. kinu cha kukoboa kina uwezo wa kukoboa mahindi na kukoboa mpunga piaUmesema ni ya kukoboa mpunga na mahindi, je inasaga pia unga au yenyewe ni kukoboa tu?
inabidi kuchimbiwa kwenye chumba chake au ni ya kuweka tu juu ya sakafu na ikafanya kazi?Ina vinu viwili.. 2 in 1.. kinu cha kusaga na kinu cha kukoboa.. kinu cha kukoboa kina uwezo wa kukoboa mahindi na kukoboa mpunga pia
Wahi ofa inayoisha mwisho wa mwezi huu
Pata mashine hii portable yenye uwezo wa kusaga na kukoboa mahindi na mpunga pia kilo 250 kwa saa kwa bei ya Tsh 1,800,000/= ikiwa complete na mota yake badala bei halisi ya 2,200,000/=
Umeme inatumia single phase wa nyumbani tu
Spea zote muhimu zinapatikana pia
Ufundi wa kukufungia kwa wakazi wa dar itakua bure
Piga au whatsup 0626751473
Mbezi luis barabara ya makabe
Dar es salaam
Au follow @nkuli_agrostoretz kwenye insta na facebook kwa maelezo zaidi
View attachment 2390722View attachment 2390723View attachment 2390725View attachment 2390727