mshakamshaka
JF-Expert Member
- Oct 19, 2019
- 373
- 676
Shuka shuka kidogo mm Nina 7 kamili ukiridhia njoo inbox tufanye biashara
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Sina muda wa kuzozana mkuuNamba C halafu uuze mil 7.5???????
Kwa nini mnapenda kuona wenzenu wajinga wasiojua bei za vitu?
Sent using mazonge yamezidi
NotedShuka shuka kidogo mm Nina 7 kamili ukiridhia njoo inbox tufanye biashara
Sent using Jamii Forums mobile app
Inategemea imetunzwa vipi nunua gari usinunue namba zipo tuNamba C halafu uuze mil 7.5???????
Kwa nini mnapenda kuona wenzenu wajinga wasiojua bei za vitu?
Sent using mazonge yamezidi
Nimekosea hapoHeading inasema 10.5 million. Au ndio mmeongea kapandisha kilo?
Nimekosea hapo
Ukiridhika na milioni 2 cash njoo pm, ila tutalipana kwa awamu mbili, nakupa 1m then baada ya mwezi nakumalizia 1m
Chapter close
Sent using Jamii Forums mobile app


