Tunauza grass cutter machine

Tunauza grass cutter machine

Joined
Nov 6, 2016
Posts
92
Reaction score
280
TUNAUZA GRASS CUTTER MACHINE.

Hii ni mashine ya kisasa ya kufyekea majani/nyasi fupi na ndefu

■Hutumia petrol kidogo mno na hukata eneo Kubwa.

■Licha ya kulevel bustani pia inaweza kupalilia mashamba.

■Inauwezo wa kuvuna mpunga.

■Huokoa gharama na nguvu kazi.

■Inakuja na majembe yake yote.

■Bei 700,000/=Tsh. Four stroke.

Call 0762212623

IMG-20250519-WA0007.jpg
 
Hiki kimashine nakihitaji sana ila kwa bei hio hapana. Mbeya tu laki4 na nusu.LPanga bei reasonable tunajua bei zake halisi ila hatuna mda wa kuagiza Alexp au Alibaba. Sasa msitupige bei za ajabu. Tutaendelea kutumia makwanja halafu mlie njaa. Wakija wavhina kuuza bei rafiki mnataka wafukuzwe. Jirekebisheni jamani.
 
Kabisa yaani wabongo kwa kupaisha bei juu aweke bei reasonable apate wateja tupo wengi tunahitaji
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom