Tunatumia asilimia 10% tu ya akili yetu

zagarinojo

JF-Expert Member
Jul 26, 2020
2,622
2,836
Asilimia 65%ya wamarekani wanaamini kuwa mwanadamu anatumia asilimia 10% tu ya akili yake.

Pamoja na mambo yote aliyofanya kama vile uvumbuzi wa satellite,simu za mkononi,vyombo vya usafiri,elimu unaweza sadiki kuwa mwanadamu anatumia asilimia 10%tu ya akili yake.

Wazungu hao hao wameendelea na kusema kuwa endapo binadamu akifinikiwa kutumia akili yake kwa asimia 100%ataweza Ku travel in future or past (time travelling)

Akili yake itaweza kuchukua maamuzi haraka kuchambua na kutafakari kwa spidi ya ajabu.

Je, unaweza kusadiki?
 
Afrika na watu wake wanaishi maisha mazuri sana yenye kupunguza muhemuko wa kuwaza mambo mengine mengine.

Kuna msemo usemao kikubwa uhai basi. Hii ndio kauli ya kiafrika zaidi.
 
Afrika na watu wake wanaishi maisha mazuri sana yenye kupunguza muhemuko wa kuwaza mambo mengine mengine.

Kuna msemo usemao kikubwa uhai basi. Hii ndio kauli ya kiafrika zaidi.
D
Africa ma great thinker wanashinda jukwaa la siasa, Basi huwa nacheeeeka, wamejaa mapovu hao, hasira mwili mzima.
Hawana majibu ya matatizo, walicho nacho ni majisifu, kusifu na kumuabudu mshikaji mmoja hivi zamani alikuwa anavuta bangi
 
Utakuwa umetoka kuangalia movie ya "Lucy".
Kwamba samaki aina ya dolphins wanatumia 25% ya akili huku binaadam anatumia 10%
 
Hizo asilimia 100% tuliziacha pale bustani ya Edeni, mwanadamu alipoacha kumtii Mungu na kumtii shetani kupitia nyoka. Tungeona maajabu dunia hii ambayo mwanadamu alikuwa anaenda kuyafanya, ikiwa hakukengeuka pale Edeni
 
Back
Top Bottom