Tunatotoresha vifaranga bora kabisa aina ya Sasso, tunatafuta masoko nje na ndani ya Dsm

Kasote

Member
Jul 27, 2018
34
33
Wakuu,

Tunatotoresha vifaranga bora kabisa aina ya Sasso, tunatafuta masoko nje na ndani ya Dsm, kwa wiki vinapatikana zaidi ya vifaranga 1000 kwa bei ya Tshs 1,800 tu.

Sifa za kuku Sasso:

- Wanavumilia Magonjwa
- Wanataga mayai Mengi kuringanisha na mbengu aina nyingine
- Unaweza kuwafunga Closed ama Open range (Kama kuku wa kienyeji kabisa bila tatizo lolote)
- Nyama yao ina radha nzuri
- Uzito kwa kuku wa miezi 6 inaweza kufikia kilo 2 na zaidi

Chanjo na Ushauri ni bure - Fuga kwa mafanikio.

Tupigie 0682 231053

1534849251233-jpeg.843125
 
AD tunapatikana Dar tunazalisha vifaranga wa kuroiler. Vifaranga hawa wanakua kwa kasi ya broiler wakilishwa vizuri kama broiler, pia wakifikisha miezi miwili unaweza kuwalisha chakula cha kuku cha kutengeneza mwenyewe, mabaki ya vyakula nyumbani, majani ya azola na kadhalika.

Vifaranga bora vinavyotokana na Mayai Bora kabisa Tanzania wanapatikana ambapo wa wiki moja ni Tshs.1,200 wakiwa na chanjo ya awali na vifaranga vya mwezi mmoja kwa Tshs. 4,500 wenye chanjo za awali za Mwezi mmoja.

Kwa mawasiliano TUPIGIE 0768 570 655 (Vodacom). Au tembelea www.ufugaji.rf.gd kwa kupost bidhaa zako bure bila malipo yeyote. Karibuni Sana.

Vifaranga wanaweza kusafirishwa popote Tanzania kwa Bei hiyohiyo na gharama za Usafiri ni juu yetu AD.
 
Back
Top Bottom