Tunatoa ushauri upi, kwa wabunge katika kutimiza ahadi zao kwa wananchi ?

BAOBAO

JF-Expert Member
Oct 12, 2012
1,874
547
Wakuu wa JF;ni vema kutoa ushauri kupitia jamvi hili kwa waheshimiwa wabunge,ili watimize ahadi za maendeleo kwa wananchi.Nchi inajengwa kwa umoja na ushirikiano kutafuta njia mbadala kuondoa matatizo kwenye majimbo yetu.Hivyo,tuwakumbushe ahadi zao wabunge kama barabara,maji,umeme na kupunguza umaskini nk.Nawakilisha.
 
Kama huna mada ya ku-post, usitupotezee muda.
Mkuu,mimi sina chama cha siasa wala ushabiki,bali napenda haki kwa wote ! Sina lengo kuwasaidia wabunge wa CCM bali wote wanapata ushari au njia mbadala kutimiza ahadi zao.
 
Waheshimiwa wabunge wa kanda ya kati;hasa mkoa wa Dodoma kwa jumla,ni vema kuanzisha kilimo cha umwagiliaji maji katika kupambana umaskini vijijini;baada ya kujenga mabwawa makubwa kutokana maji ya mvua yanayopotea bure kila mwaka.
 
Back
Top Bottom