Mjengajiafya
Member
- Feb 2, 2023
- 58
- 44
Akijibu ni tagBidhaa gani bwana promota?
Vipi umewahi kufanya ,Wazee wa Network marketing[emoji57]
Bidhaa za Urembo , na Afya BossBidhaa gani bwana promota?
Hapanaa ni bidhaa za Afya na UremboNi mabeseni..?!
Dah😂Ni mabeseni..?!
Well,Hapanaa ni bidhaa za Afya na Urembo
Haipo hivyo kuwa na taarifa sahihi nimuhimu sana au kuuliza tu nijambo zuri sana ,shida huwa Tukiona kitu unataka uonekane sasa wewe ndo mtaalam , sisi hatukupi bidhaa ukauze boss , leta watu wenye changamoto kiafya tuwasaidie na siyo kukupa bidhaa ukatembezeYaani mtaji ni wangu,halafu mnanilipa kutokana na uuzaji wa bidhaa ambazo ni zangu mmeniuzia?
Mkichukua 46000 kwa watu wa sampuli mnayoifikiria hata 100 tu,tayari mmeshauza milioni 4na laki 6.Good idea.
Hatukupi bidhaaa , ukiwa na taarifa sahihi inaweza kukusaidia sana , sisi hatutoi bidhaa ukatembeze kama machinga boss , af ndo tukulipe hapana , leta watu wenye changamoto za kiafya bila hata kutoa hiyo 46000 wapatiwe huduma then uone kama utalipwa au hautalipwa. Ask before46,000 yangu ya mtaji alafu mnilipe kulingana na mnavoona nyie inafaa!! Kwani huo mtaji mmenipa nyie ? Bidhaa mmenipa bure? Takataka