SimbaMpole123
JF-Expert Member
- Apr 23, 2023
- 5,315
- 4,518
Hahaha mi sio atheist bana I'm a deist. Naamini katika Muumbaji lakini siamini katika dini.ukiendelea hivi utakua atheist.... uko tayari??
eventually utakuja kua atheist.... 😂Hahaha mi sio atheist bana I'm a deist. Naamini katika Muumbaji lakini siamini katika dini.
Hivi hujaona Ufunuo apo au ..afu wakristo mnanishangaza kitu kimoja. Mnapenda kuchagua vipande vya Biblia mnavyoona vinawafaa binafsi na vingine mnaviacha. Mambo ya ushoga Yesu hakuongelea yapo kwenye agano la kale Ila mnayafuatilia. Ila likija swala la kuzini inabidi upigwe mawe mnasema ni agano la kale. Kama halitumiki mbona lipo kwenye Biblia Sasa. Acheni visingizio either kitabu kizima ni uongo au kizima ni Cha ukweli. Mambo ya hoo nasoma hapa naacha hapa mwingine anasoma kule anaacha huku hatutaki.Mbona unatumia agano la kale pekee mkuu.
Enewei nia yako ni kutaka kujua au kusanua wana??
I don't think so .Kuna vitu siwezi elezea Kama mwanzo wa ulimwengu. Kwa hiyo inabidi nikisie atakuwa muumbaji Ila ndo simjuieventually utakuja kua atheist.... 😂
ila chamsingi umeacha kuamini miungu ya kwenye vitabu.....I don't think so .Kuna vitu siwezi elezea Kama mwanzo wa ulimwengu. Kwa hiyo inabidi nikisie atakuwa muumbaji Ila ndo simjui
Ndio maana nikakuuliza lengo lako ni kusanua watu au ni wewe kutaka maelezo zaidi.Hivi hujaona Ufunuo apo au ..afu wakristo mnanishangaza kitu kimoja. Mnapenda kuchagua vipande vya Biblia mnavyoona vinawafaa binafsi na vingine mnaviacha. Mambo ya ushoga Yesu hakuongelea yapo kwenye agano la kale Ila mnayafuatilia. Ila likija swala la kuzini inabidi upigwe mawe mnasema ni agano la kale. Kama halitumiki mbona lipo kwenye Biblia Sasa. Acheni visingizio either kitabu kizima ni uongo au kizima ni Cha ukweli. Mambo ya hoo nasoma hapa naacha hapa mwingine anasoma kule anaacha huku hatutaki.
ndio shida za hawa jamaa?Hivi hujaona Ufunuo apo au ..afu wakristo mnanishangaza kitu kimoja. Mnapenda kuchagua vipande vya Biblia mnavyoona vinawafaa binafsi na vingine mnaviacha. Mambo ya ushoga Yesu hakuongelea yapo kwenye agano la kale Ila mnayafuatilia. Ila likija swala la kuzini inabidi upigwe mawe mnasema ni agano la kale. Kama halitumiki mbona lipo kwenye Biblia Sasa. Acheni visingizio either kitabu kizima ni uongo au kizima ni Cha ukweli. Mambo ya hoo nasoma hapa naacha hapa mwingine anasoma kule anaacha huku hatutaki.
Yesila chamsingi umeacha kuamini miungu ya kwenye vitabu.....
Yahndio shida za hawa jamaa?
ndo vizuri.... it is the future
Ila Kuna Mara kauwa watu bila hatia mbona huwezi elewa. Hebu soma hapo.Mungu ni Mungu mshika maagano na sheria lkn ni mwepesi sana kusamehe kuliko mungu mwingne yyt ulimwengu huu, uliza wanaotumikia miungu mingne watakwambia.
.
Hoja yako ni dhaifu sana kwasabab hao watu wote unasema Mungu aliwaua sio Mungu alowauwa, walikufa kwa sababu ya wao kuchagua kumtumkia shetani na kumpa shetani maisha yao hiyo ipo mpka leo je ni watu wangap wanakufa leo kwa sababu ya kumtumikia shetani kwenye pombe, uzinzi, wizi, kafara, ugomvi N.K
.
Soma vzr biblia yako mwanzk mpka ufunuo hakuna aliye mwenye haki mbele za Mungu na akaachwa na Mungu..
Dini za uwongo banaNdio maana nikakuuliza lengo lako ni kusanua watu au ni wewe kutaka maelezo zaidi.
Ujue watu wengi kama wewe huwa hamuelewi mnataka nini, mwisho wa siku mnajikuta dini za watu zinawaumiza mno, mabishano makali mwisho wa siku tofauti yako na mshika dini inakua haipo.