Tunatoa huduma za Bima ya afya kwa wote

Tunatoa huduma za Bima ya afya kwa wote

NGIMBER

Member
Joined
Oct 21, 2013
Posts
79
Reaction score
43
Habari za muda huu wana JF.

Mimi ni sales representative wa kampuni ya Bima.

Napenda kuwatambulisha huduma ya bima ya afya inayoitwa AFYA WOTE.

Hii ni bima ya afya inayotolewa mahsusi kwa familia(family members) ambayo hutumiwa mpaka kwa watu wanne yaani baba/mama na watoto wawili.

Gharama za bima hii ni Tsh.(174,000/- kwa familia yote(watu wanne) kwa mwaka na endapo familia ina idadi zaid ya hiyo kila anaezidi unaweza kumuongeza kwa kuongezea Tsh.100,000/
Mfano una watu watano utatoa 174,000+100,000.

NI KWA AJILI YA NANI.?

Bima hii ni kwa ajili ya watu wote
1.baba/mama wenye familia na ambao hawana familia.

2. Kampuni kwa ajili ya wafanya kazi wake na familia zao.
Gharama zake ni nafuu hasa ukizingatia nyakati hizi.

NINI CHA KUFANYA?
Kama utakuwa na uhitaji wa bima hii andaa vifuatavyo.
1. Kitambulisho cha taifa au kadi ya kupigkura.(si zaidi ya miaka 65)

2.Vyeti vya kuzaliwa kwa watoto (si zaidi ya miaka 18)

3.Passport size 2 kwa kila member.

KWA WATAKAOKUWA NA MASWALI NA UHITAJI WA BIMA HII NIPIGIE SIMU AU WATSAPP No. 0754847678.
Kwa walio karibu na city center ntawafuata walipo kwa maongezi zaid kama itahitajika.
Nimeattach List ya hospital ambazo unaweza kutibiwa kupitia bima hii. KARIBUNI SANA WAKUU

af4c3e62d7ed2e63825631fae7e12f35.jpg
 

Attachments

Hii kitu nimekuwa niitafuta kwa muda mrefu bila kupata majibu....maana mfuko wa Taifa ni pasua kichwa aseee.....
 
So kwa Agha Khan Hospital hii kadi haifai??
Kwa aga khan hospital hii card haitumiki ila kuna nyingine inaitwa afya wote premier unaweza kupata huduma mpaka hospital za gharama kama aga khan. Gharama zake ni tofaut na hizo hapo ukihitaji nitafute tu mkuu.
 
Kwa aga khan hospital hii card haitumiki ila kuna nyingine inaitwa afya wote premier unaweza kupata huduma mpaka hospital za gharama kama aga khan. Gharama zake ni tofaut na hizo hapo ukihitaji nitafute tu mkuu.
Anhaa,
Ni bei gani na hizo??
 
sija elewa neno kima sawa na mgonjwa alie lazwa ina maana gani hapo.
 
Hii nzuri. Je mna bima kwa mtu private yaani mmoja bila wazazi wala watoto? Na je gharama yake ikoje?
 
Hii nzuri. Je mna bima kwa mtu private yaani mmoja bila wazazi wala watoto? Na je gharama yake ikoje?
Kwa hii ya afya wote ukiwa peke yako gharama bado itabaki ni hiyohiyo.
 
Back
Top Bottom