Tunatoa huduma ya Printing




Karibuni sana kwa huduma za Graphics Design na printing
 


Asante NICE kwa kutuamini. Bidhaa yako ni bora sana, nasi tumekufanyia LABEL bora zaidi.

Kwa kwenye mahitaji ya Graphics design na printing usisite kuwasiliana nasi kwa namba 0762 182398. Tunapatikana Kariakoo, Dar es Salaam.

-Business cards
-Posters
-Book covers
-Receipt books
-ID cards
-n.k n.k
 
Habari mkuu
Inagharimu kiasi gani cha pesa kuchapisha jina na nembo ya tasisi katika daftari na counter books zake
 

Labels za bidhaa (stickers) ---- ** Tsh. 500/=** kwa A4 sticker
Business cards
Vitambulisho (ID Cards)
Posters A4/A3 za matangazo
Vipeperushi
Brochures A4/A3
N.k

Quality ya printing ni nzuri sana na huduma zetu kwa wateja utafurahia.
Tunapatikana Kariakoo mtaa wa Ndanda/Magila. Contacts 0762182398
 


Tutahakikisha tunakamilisha kazi yako kwa wakati na kwa kiwango cha hali ya juu kwa gharama rafiki kabisa. KARIBU sana
 
Nataka kuprinti mabango ya kudai tume huru ya uchaguzi mtanifanyia bei gani
 
Nataka kuprinti mabango ya kudai tume huru ya uchaguzi mtanifanyia bei gani

Asante kwa nia ya kufanya kazi na ofisi yetu, tunakukaribisha kuprint mabango ya aina mbalimbali hasa kipindi hiki cha mchakato wa uchaguzi. Kuhusu mabango ya kudai tume huru ya uchaguzi ofisi yetu haiprint.
 
na Roll up banners zinaendaje bro?
 
Kwa kwenye mahitaji ya Graphics design na printing usisite kuwasiliana nasi kwa namba 0762 182398. Tunapatikana Kariakoo, Dar es Salaam.

-Business cards
-Posters
-Book covers
-Receipt books
-ID cards
-n.k n.k
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…